KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,320
Habari Wana JF
Nilipenda sana huu uzi ukae jukwaa la Jamii Intelligence
Lakini nimeshindwa kutokana na matatizo tunayofanyiwa kule kila uzi ukiuweka unakuwa sio approved na ukizingatia uzi unakuwa hauna shida yoyote, basi wacha tukutane hapa hapa tu.
Sasa naendelea na hoja
kama kichwa akinavyoeleza hapo juu, hii nikutokana na maneno aliyoyazungumza Yesu Kristo kutoka vitabu vya dini na baadhi ya vitabu vya kihistoria, japo watu wanaweza jiuliza kwanini nimesema laana? kwasababu kushi kwa muda mrefu namna hiyo sijaona kama ni baraka pia ukilinganisha na ile laana aliyopewa kaini katika kitabu cha mwanzo japo unaweza kuwa na hoja na mawazo tofauti tukajua tunafikia mwafaka upi
naweka nuu hapa chini
→As Jesus sank beneath the load, He turned his pitying eye to the unfeeling child of Israel, and, pointing up on high, said, “yes, I go for it needs must be, but until I do return, thou must go, to and fro…” (Eugene Sue, 1881)
→Matthew 16: 28 which reads: “Truly I say to you, there are some of those who are standing here who will not taste death until they see the Son of Man coming in His kingdom"
→Mathayo 16: 28 Inasema "..Kwa kweli ninawaambia kwamba kuna baadhi ya wale waliosimama hapa ambao hawataonja kifo kamwe kabla ya kumwona Mwana wa binadamu akija katika Ufalme wake.”
Unaweza kusoma kitabu chochote cha biblia kifungu hicho na ukakuta maana hiyo
Msingi wa kifungu hicho nikwamba Neno linasema Yesu alikuwa anawaambia huku akionyesha yakuwa mlengwa yupo hapo hapo walipokuwa wamesimama na inaonyesha sasa toka miaka hiyo hadi leo huyo mtu anaishi maana bado kiama hakijafika.
Japo kuna baadhi ya watu wajaribu kusema ni Kaini yule ndugu yake na Habili ambaye alimuua ndugu yake na wengine wamekuwa na maoni tofauti tofauti na hayo.
→Genesis 4:12 says- “When you cultivate the ground, it will no longer yield its strength to you; you will be a vagrant and a wanderer on the earth…”
Ukisoma katika kitabu cha mwanzo hicho hatujaona mahali ambapo Biblia inaeleza yakuwa huyu mtu atabakiwa na laana hiyo kwa muda gani, kwahiyo tunashindwa kuendelea kusema ni Kaini au La!
Basi Leo nimelileta kwenu wana Jamii forum wenye mawazo na maoni na uelewa tofauti tunaweza kusaidiana kujua kama je huyu mtu yupo ama hawa watu wapo hadi leo hiii?
Karibuni Katika Maoni
ANGALIZO
Huu Uzi haupo kukosoa dini ya mtu wala, wala kukebehi, ila ni kwaajili ya kufundishana
Kama utakuwa na imani tofauti ama utakuwa na mtazamo hasi juu ya uzi huu naomba utuachie ambao tunaweza tukajadiri kwa namna ya kujifunza
Pia kwa wale wasioamini katika Mungu huu uzi hauwafai hata kidogo tunaomba mtuachie wengine
Naomba Tuzingatie Haya
Kuna siri gani kwenye Kanisa Katoliki kuhusu Miracle Hunter?