Mtu aliyelaaniwa kuishi hadi kiama

Mtu aliyelaaniwa kuishi hadi kiama

Haya Maandiko kweli yanahitaji Hekma kuyaelewa, zaeni mkaongezeke mkaijaze Dunia, na kila nafsi itaonja almaut
 
Hakuna maendeleo bila uchokozi.

Hata Chuo Kikuu wasomi wanapata elimu kwa maswali ya uchokozi.
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe basi sawa. Wewe ukifa utazikwa kwa Tamaduni gani
 
Asanthe Dinnah kwa ufafanuzi sasa nautumia msitari wako
""Amin,nawaambieni,pana watu katika hawa wasimamao hapa,ambao hawataonja mauti kabisa,hata watakapomwona mwana wa Adamu akija katika ufalme wake"".

Rudia kidogo kupitia maneno nilliyoyafanyia wino mzito Yesu wakati huo alikuwa anaongea kipindi ambacho Elia tayari yupo Mbinguni maana alikuwa amekwisha ondoka miaka mingi iliyopita, watu waliokuwa wanaambiwa mamneno hayo Elia hakuwepo miongoni mwao, kwahiyo sidhani kama hapo alikuwa ni Elia ambaye alikuwa anazungumziwa na habari za Elia zinafuatia mlango wapili ambapo alikuwa ameenda milimani kusali walitokea Elia Na Musa

Kwahiyo bado swali likopalepale hata akiwa ni Elia kumbuka bado Yesu hajarudi sasa Elia kamuonaje akirudi na utukufu wake?

Ukisoma katika 2Wafalme 2:1-15 hapo ni habari ya Elia na Elisha mwisho wassiku msitari wa 15 unaona Neno linasema watu wakasema roho ya Elia imebaki juu ya Elisha wakamfuata wakamwinamia hata ardhi.
sasa unataka kuniambia kuwa roho inakuwa inarithishwa?
bado kuna kitu kinapelea hapo
Eliya alirudi duniani kama Yohana akafa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom