kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Mkasa wa leo hapa kwetu ni kwamba kuna kijana mtoto wa jirani (26yr) inasemekana kavuta mibange huko kijiweni maana alikuja akiwa anakokotwa kwenye baiskeli na vijana wenzake wakamshusha hapo nje kwao, wakatoa maelezo hayaeleweki hata...wakaondoka.
Wanasema walimkuta mida ya jioni kwenye uwanja wa mpira akiwa anacheki mazoezi ya mpira wa miguu. Baada mazoezi kwisha hua kuna kikundi cha vijana kinakaa nyuma ya gori wanajimulikia na tochi wanacheza kamari na wengine wanavuta bhange na kula unga. Mtu yoyote anaekatiza pale uwanjani hua wanamteka na kumnyang'anya simu n.k. Wanasema huyo kijana leo alikua na hao vijana tangu mapema tu (maana wavuta bhange wa mtaani hapa wanafahamika)
Sasa baada ya wenzao kumshusha hapa amekimbia kaenda kulala kwenye lundo la kokoto zilimwaga na lori hapa maana kuna ujenzi unaendelea. Tangu saa 12 flan hadi saiz kijana kalala pale na hataki kutoka. Anatukuna na kurusha kokoto mtu akitaka kumsogelea. Wakimuacha anavua shati na kulala kwenye kilele cha lundo la kokoto.
Binafsi nilijua bange zikimuisha atatoka aingie ndani, kumbe hadi saa 7 usk saiz naskia makelele kumbe hajatoka yupo pale pale. Wanaulizana huyu dogo wambembelezeje atoke maana inaonekana bhange imemkolea kweli kweli.