Mtu aliyevuta bhange anabembelezwaje asikie?

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Posts
6,097
Reaction score
7,199
Mkasa wa leo hapa kwetu ni kwamba kuna kijana mtoto wa jirani (26yr) inasemekana kavuta mibange huko kijiweni maana alikuja akiwa anakokotwa kwenye baiskeli na vijana wenzake wakamshusha hapo nje kwao, wakatoa maelezo hayaeleweki hata...wakaondoka.

Wanasema walimkuta mida ya jioni kwenye uwanja wa mpira akiwa anacheki mazoezi ya mpira wa miguu. Baada mazoezi kwisha hua kuna kikundi cha vijana kinakaa nyuma ya gori wanajimulikia na tochi wanacheza kamari na wengine wanavuta bhange na kula unga. Mtu yoyote anaekatiza pale uwanjani hua wanamteka na kumnyang'anya simu n.k. Wanasema huyo kijana leo alikua na hao vijana tangu mapema tu (maana wavuta bhange wa mtaani hapa wanafahamika)

Sasa baada ya wenzao kumshusha hapa amekimbia kaenda kulala kwenye lundo la kokoto zilimwaga na lori hapa maana kuna ujenzi unaendelea. Tangu saa 12 flan hadi saiz kijana kalala pale na hataki kutoka. Anatukuna na kurusha kokoto mtu akitaka kumsogelea. Wakimuacha anavua shati na kulala kwenye kilele cha lundo la kokoto.

Binafsi nilijua bange zikimuisha atatoka aingie ndani, kumbe hadi saa 7 usk saiz naskia makelele kumbe hajatoka yupo pale pale. Wanaulizana huyu dogo wambembelezeje atoke maana inaonekana bhange imemkolea kweli kweli.
 
Maji baridi sana almost frozen ndoo nzima kammwagieni mwili mzima zitamrudi
Au tafuteni nyoka wa kinyago mumrushie
 
Huyo mleteeni msosi..wavuta bangi wana affinity na chakula ...akija kula fanyeni hima mumdake alaf kituo cha kwanza ni polisi....akilalala huko siku 2 hatarudia ujinga huo
 
Wamemwagia maji, jamaa kavua nguo zote...kokoto zinarushwa balaa. Tumetawanyika bhana...hahha
Hayakuwa na ubaridi wa kutosha hayo... Ni yale ALMOST frozen.. yani ukimwgiwa utatetemeka kama unavibrate vile
 
Kama ni bangi basi haimfai atachizika au tayari amechizika
 
Sokoteni nyingine avute atapata stimu nyingine hyo aliyovuta imemnasia hapo kwenye kokoto
 
huyo itakuwa mara yake ya kwanza kulikoki, maana herb,kaya, ndumu, jani aka cha meru kinakujaga na style tofauti mara ya kwanza, kuna ndugu yangu yeye tulimvutisha unaambiwa alikunywa ndoo nzima ya maji, mwingine aliona watu wanamzomea amejinyea hahaa. tuachie wenye fanny
 
Maji baridi sana almost frozen ndoo nzima kammwagieni mwili mzima zitamrudi
Au tafuteni nyoka wa kinyago mumrushie
si atazidi kuwehuka nyoka tena minili data kwa muda kwakuona nguo nilizozitundika nyuma ya mlango zikigeuka watu aise nilipiga mayowe ya hatari ilibd uvunjwe mlango nisaidiwe bangi ni ovyo kabisa
 
Mpeni miwa ale itakata akizingua tena mchomsheni bangi halafu mfungien kwenye banda la nguruwe
 
si atazidi kuwehuka nyoka tena minili data kwa muda kwakuona nguo nilizozitundika nyuma ya mlango zikigeuka watu aise nilipiga mayowe ya hatari ilibd uvunjwe mlango nisaidiwe bangi ni ovyo kabisa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Maji baridi sana almost frozen ndoo nzima kammwagieni mwili mzima zitamrudi
Au tafuteni nyoka wa kinyago mumrushie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo ya nyoka ni tiba kamili hatarudia kuvuta tena bangi
 
Back
Top Bottom