Mtu ambaye hukumtegemea kabisa anapokufanyia jambo hili unapatwa na kigugumizi cha hisia

Mtu ambaye hukumtegemea kabisa anapokufanyia jambo hili unapatwa na kigugumizi cha hisia

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Nimerudi Dar mara moja then baada ya kazi flani nitarudi tena Zanzibar. Zanzibar nyie na mimi mpaka kukuche. Kilichonifanya niandike thread hii ni tukio la kushangaza ambalo limetokea leo asubuhi ofisini.

Mara baada ya kufika ofisini nimeonana na dada mmoja ambaye sikuwa na mazoea naye sana sababu ni mdada mzuri, anavutia ,tunaheshimiana na mimi sipendi kufanya uharibifu mkubwa maeneo ya kazi. Basi tukasalimiana na kujuliana hali sababu yeye alikuwa likizo na amerudi kipindi ambacho mimi nilikuwa Zanzibar. Basi katika hali ya kusalimiana nikamwambia “ Fatma” (si jina lake halisi) mwaka mpya na likizo umeniletea nini kwa utani tu i wasn't serious. Alicheka na kufikiria kidogo na mwishowe akaniuliza ningependa anipatie nini… nami nikachukua sekunde kadhaa kufikiri na mwishowe nikamwambia “ kitu flani special for me ambacho ni surprise na sitaki ununue” akanambia hapo sasa nmempa mtihani mkubwa sana… nikamwambia anipatie kitu ambacho hata hitaji kutumia pesa.ila nita enjoy sana kupata.

Nikamwambia achukue tu muda akafikirie halafu aje. akanitizama kidogo kisha akajibu "haya" Akaondoka. Baada kama ya dakika 20 akarudi kwangu akanitupia bahasha iliyokuwa imevimba kiasi pasina kusema kitu akelekea ofisini kwake. Basi nami nikafungua ile bahasha kwa tashwishi kubwa sana.

Lahaulah lakwata…. Nimefungua hivi, si nakuta kuna chupi ya kike!… yaani alienda akavua chupi yake na kuniletea.. kucheck vizuri ilikuwa kweli imetoka kuvuliwa na ina ile harufu ya K.

Nikanusa nikakuta ni kweli.muda si mrefu ikaingia text “ kwa hiyo ujue mwenzio hapa sina chupi shauri yako” sasa nipo kwenye dilemma. nimepatwa na kigugumizi cha hisia na mawazo sababu sikutegemea mdada huyu anitendee hivi. ni mdada anayejiheshimu sana na wengi humwogopa sababu yupo so serious. sasa hili la leo limenishtua je huu ni mtego au ana nia mbaya na mimi?

naona kama siku yangu imeanza vibaya kwa kweli.maana nimekaa tu hapa nawaza na kuwazua nini kitafuata sasa.
 
GuDume baana unaniacha hoi sana na visa mikasa vyako. Keshakutunuku hiyo kipochi nyoya kazi kwako sasa kama ulikuwa unamtania mwenzio kajaa mazima. Na usipomto.mba hamtokaa muelewane huyo
 
Mkuu, ichupi inanuka K au inanukia K? Hebu nipe msimamo wako kuhusu hili kisha tuendelee
 
ha ha ha gudume huwa siachi kukusoma. wewe na hizo kitu ni kama ngozi na mwili.... mnaenda sambamba. huyo demu anaamaanisha yupo tayari ushindwe wewe tu sasa. amekurahisishia sana hili jambo.
 
Gudume katika ubora wako[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom