Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
yaa wenye vipara wengi ni mahaba niue,huwa wanalia hadi kulia wanapokuwa wanawinda mgegedo,unaweza hata kumtuma peku kariakoo na akaenda ila umuahidi mgegedo tuuCurious gal nashukuru sana nikakumbuka ule usemi wa "curiosity killed the cat" ha ha ha mimi ni mzee wa kupiga kipara tu sina lingine kama unavyoona kichwa changu hapo juu inasemekana sisi wenye vipara tunakuwa fiti sana na ni wahuni sana...labda wanapenda jinsi nilivyo mhuni na pia nipo real.