Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I guess atakuwa mwongo huyo jamaaAm speechless! Hivi hivi vitu unavoandika huwa vinakutokea kweli au?????
Nimerudi Dar mara moja then baada ya kazi flani nitarudi tena Zanzibar. Zanzibar nyie na mimi mpaka kukuche. Kilichonifanya niandike thread hii ni tukio la kushangaza ambalo limetokea leo asubuhi ofisini.
Mara baada ya kufika ofisini nimeonana na dada mmoja ambaye sikuwa na mazoea naye sana sababu ni mdada mzuri, anavutia ,tunaheshimiana na mimi sipendi kufanya uharibifu mkubwa maeneo ya kazi. Basi tukasalimiana na kujuliana hali sababu yeye alikuwa likizo na amerudi kipindi ambacho mimi nilikuwa Zanzibar. Basi katika hali ya kusalimiana nikamwambia “ Fatma” (si jina lake halisi) mwaka mpya na likizo umeniletea nini kwa utani tu i wasn't serious. Alicheka na kufikiria kidogo na mwishowe akaniuliza ningependa anipatie nini… nami nikachukua sekunde kadhaa kufikiri na mwishowe nikamwambia “ kitu flani special for me ambacho ni surprise na sitaki ununue” akanambia hapo sasa nmempa mtihani mkubwa sana… nikamwambia anipatie kitu ambacho hata hitaji kutumia pesa.ila nita enjoy sana kupata.
Nikamwambia achukue tu muda akafikirie halafu aje. akanitizama kidogo kisha akajibu "haya" Akaondoka. Baada kama ya dakika 20 akarudi kwangu akanitupia bahasha iliyokuwa imevimba kiasi pasina kusema kitu akelekea ofisini kwake. Basi nami nikafungua ile bahasha kwa tashwishi kubwa sana.
Lahaulah lakwata…. Nimefungua hivi, si nakuta kuna chupi ya kike!… yaani alienda akavua chupi yake na kuniletea.. kucheck vizuri ilikuwa kweli imetoka kuvuliwa na ina ile harufu ya K.
Nikanusa nikakuta ni kweli.muda si mrefu ikaingia text “ kwa hiyo ujue mwenzio hapa sina chupi shauri yako” sasa nipo kwenye dilemma. nimepatwa na kigugumizi cha hisia na mawazo sababu sikutegemea mdada huyu anitendee hivi. ni mdada anayejiheshimu sana na wengi humwogopa sababu yupo so serious. sasa hili la leo limenishtua je huu ni mtego au ana nia mbaya na mimi?
naona kama siku yangu imeanza vibaya kwa kweli.maana nimekaa tu hapa nawaza na kuwazua nini kitafuata sasa.
Basi atakuwa anapenda kuchangamsha genge kwa style hiyoI guess atakuwa mwongo huyo jamaa
GuDume mkuuni maisha tu yanasumbua ila wewe inaonyesha hapa duniani unawezakazi moja tu,kugegeda basi
Utakuwa upo vizuri sana! Hongera babaa
Natamani sana kuhamishiwa ofisi yako. Kila siku unapatwa na changamoto pendwa.
Hongera sanaCurious gal nashukuru sana nikakumbuka ule usemi wa "curiosity killed the cat" ha ha ha mimi ni mzee wa kupiga kipara tu sina lingine kama unavyoona kichwa changu hapo juu inasemekana sisi wenye vipara tunakuwa fiti sana na ni wahuni sana...labda wanapenda jinsi nilivyo mhuni na pia nipo real.