Curious gal haya mambo yanatokea. hivi hujawahi sikia mtu analalamika kwa nini mimi tu? yaani ana pata mabalaa mengi mengi mpaka anauliza why me? hujawahi sikia kuna mtu yeye ni hapendeki hata iweje? hujawahi sikia kuna mtu hapendezi hata umvalishe nguo gani? ndivyo ilivyo kwangu nami. nina mabalaa majanga na maswahibu mbali mbali. pengine ni kutokana na aina ya maisha yangu na watu wa karibu yangu. ila haya yapo na kama unataka tuwasiliane nikupe ushahidi.ni inbox namba yako ya simu. by the way unazidi kupendeza tu..unatunyima nini sisi wengine? tugawane utamu huo.