Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Jibu ni moja tu, Mungu anataka huyo mtu awe raisi ili kuwaonesha wabaya wake kuwa Analopanga yeye Mungu ndo hutimiaHili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza.
Yaani wanadamu wanapanga kukua, na sio kupanga kukuua tu,bali inadaiwa walipanga hata msiba huo na mazishi yake yaweje, lakini Mungu akaingilia kati na kumuokoa muhusika, na leo hii mtu huyo anakuwa mgombea wa uraisi!!Je,ni hivi hivi tu au kuna kusudio la Mungu nyuma yake?Tuache muda utajibu ingawa wengi ni wagumu kusadiki kama walivyokuwa wagumu kusadiki kwamba angerejea nchini.
Wanadamu ndio mjue kuna mwenye mamlaka kuwazidi, na anaendelea kuwaonyesha kuwa yeye ni alpha na omega.
Usimsahau BCM!Huu ndo unaoitwa uchaguzi wa watani wa jadi.
JPM vs TAL na siyo CCM vs CDM maana wengi watasaliti vyama vyao.
JAMBO HILI LINA MAANA KUBWA KWAMBA MUNGU NDIO AJUAYE KESHO YA MTU HATA WANADAMU WAFANYAJE KAMA MUNGU HAJAPANGA KAMWE HAWATAFANIKIWAHili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza.
Yaani wanadamu wanapanga kukua, na sio kupanga kukuua tu,bali inadaiwa walipanga hata msiba huo na mazishi yake yaweje, lakini Mungu akaingilia kati na kumuokoa muhusika, na leo hii mtu huyo anakuwa mgombea wa uraisi!!Je,ni hivi hivi tu au kuna kusudio la Mungu nyuma yake?
Tuache muda utajibu ingawa wengi ni wagumu kusadiki kama walivyokuwa wagumu kusadiki kwamba angerejea nchini.
Wanadamu ndio mjue kuna mwenye mamlaka kuwazidi, na anaendelea kuwaonyesha kuwa yeye ni alpha na omega.
Ukweli ni kwamba,bila kujali matokeo yatakuwaje,mpaka hapa wahusika wamepata funzo kubwa sana.JAMBO HILI LINA MAANA KUBWA KWAMBA MUNGU NDIO AJUAYE KESHO YA MTU HATA WANADAMU WAFANYAJE KAMA MUNGU HAJAPANGA KAMWE HAWATAFANIKIWA
Wewe ndiye unayemkumbuka.....hana madhara.Usimsahau BCM!
Sema ambaye wenye Sacco's walimtwanga mablankoo wamerudi kinyumenyume kumfanya mgombea wao! Wasije tu wakawa na agenda naye nyingine...maana so kwa genge Hilo!Hili ndio swali ambalo kila mtu mwenye kufikiri na kuwaza kwa mapana anapaswa kujiuliza.
Yaani wanadamu wanapanga kukua, na sio kupanga kukuua tu,bali inadaiwa walipanga hata msiba huo na mazishi yake yaweje, lakini Mungu akaingilia kati na kumuokoa muhusika, na leo hii mtu huyo anakuwa mgombea wa uraisi!!Je,ni hivi hivi tu au kuna kusudio la Mungu nyuma yake?
Tuache muda utajibu, ingawa wengi ni wagumu kusadiki kama walivyokuwa wagumu kusadiki kwamba angerejea nchini.
Wanadamu ndio mjue kuna mwenye mamlaka kuwazidi, na anaendelea kuwaonyesha kuwa yeye ni alpha na omega.
@Salary Slip mie sitashangaa kama ghafla mgombea toka chama kubwa akatangaza kuwa ameamua hata gombea kwa matatizo ya afya ili chama kiteue mwingine.Eti inadaiwa walipanga asafirishwe kwenda kwao faster faster na pale Dom pasiwe na shughuli yoyote!!Sasa wajue shughuli ndio imeanza.
Kama wakishirikiana na CCM kwa usimamizi na utekelezaji wa vyombo vya dola..... Peke yao hawana nguvuKuna uwezekano mkubwa ACT wazalendo kua chama kikuu cha upinzani.
Aliekudanganya risasi 1 ya smg inauwa temba ni naniHalafu kuna watu wanasema hakuna Mungu! Risasi moja ya SMG inaua tembo lakini 16 hazikuua mtu lazima ni Mungu.
Na kama Mungu akipenda hata jiwe la changarawe linakuondosha kama David alivyomdondosha goliati. Acheni Mungu aitwe Mungu!
Ameenda kuketi kwenye mkono wa mungu baba mwenye enzi yote. Hapo ndio nashindwa kuelewa sasa huyu yesu yeye alikuwa nani ina maana kabla hajafa kulikuwa na mungu mwingine au?Huyo ndo Yesu Kristu wa Kweli Sasa (Achana na Yule feki) kutoka jamhuri ya Push
Mafarisayo,Masadukayo hawakutaka Yesu Aishi... Wakamdhihaki ,wakampiga wakamuwamba mtini....Ila siku ya Tatu akafufuka,akapaa Juu Mbinguni
Labda kwa mtutu kukabidhiwa nchi ni ngumu sanaNaona kuna jambo kubwa linakuja, aisee kuna watu hataamini..,
Nikikumbuka ule uchaguzi wa TLS pale A town, kile kishindo...