jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,839
- 2,963
Ukimsikiliza Tundu Lissu anaongea zaidi kwa huzuni kuliko hasira sio kama anavyofanya mpinzani wake meko.
Tundu Lissu anaendelea KUSEMA Watanzania wamepoteza maisha yao na kazi zao:kutokana na rais ambaye hasemeleki hataki kukosolewa, analaumu wengine, anakataa ushirikiano na mpenda chuki.
Yani Jiwe ana characters za ajabu sijawahi kuona. Na sikutegemea kama ndio yuko hivi?! Alijua kutufool mtu huyu. Sasa sitakagi hata kumsikia kokote.