Uchaguzi 2020 Mtu ambaye Wanadamu hawakutaka aishi, lakini leo hii Mtu huyu anakwenda kuwa Mgombea wa Urais. Jambo hili lina maana gani?

Yani Jiwe ana characters za ajabu sijawahi kuona. Na sikutegemea kama ndio yuko hivi?! Alijua kutufool mtu huyu. Sasa sitakagi hata kumsikia kokote.
 
Tushasema mara kadhaa , labda turudie tena , ni hivi , Hakuna mahali popote katika dunia hii ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu
 
Yani Jiwe ana characters za ajabu sijawahi kuona. Na sikutegemea kama ndio yuko hivi?! Alijua kutufool mtu huyu. Sasa sitakagi hata kumsikia kokote.
Kama unamsikiliza Tundu Lissu kwenye mikutano utaamini ya kwamba Lissu ni mtu mwenye kuongea kwa utulivu na unaweza kumuelewa vizuri

TunduALissu anasema Kila kitu kinawezekana na huu ni wakati wetu.

Uonevu wa maccm SasaBasi tusifanye tena makosa yaliyofanywa miaka 59 iliyopita

#VOTEFORLISSU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…