Mtu ametapeli na namba yake ipo hewani je? Kuna ugumu gani kukamatwa?

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Kuna mtu amekwapuliwa simu na mtu waliyekuwa wanadaiana ripoti ipo polisi tayari ila leo ni siku ya pili namba akipigiwa anapokea naomba kujua Kuna ugumu gani wa huyu mtu kukamatwa na anatumia smart

Pesa yake alitumiwa yote iliyobakia 50k je polisi hawawezi mpata au ndo mpoka chochote mkononi?

Ni wafanya biashara wa kukopesha vyombo mtaanani au jina lingine chinga.

Ni jirani yangu kafanyiwa hivo.
 
Pesa yake alitumiwa yote iliyobakia 50k je polisi hawawezi mpata au ndo mpoka chochote mkononi?
Kwanini hadi mlipane POLICE? hii ni ishara nyie ni wasumbufu kulipa madeni ya watu, Na huyo anataka na nyie mpate taste ya kusumbuliwa kwenye mali yako halali. Muone jinsi inavyokera kudai haki yako halafu unazungushwa.

Nyie kutorudisha deni lake kwa wakati mliona sawa, ila yeye siku moja tu mshaanza milio.

MUHIMU: Mjifunze kuheshimu ratiba na mipango ya watu, ukikopa basi lipa on time ili msifikie huko. Na inawezekana jamaa alikuwa akiwapigia simu kudai chake mlikuwa hampokei.

Usilopenda kufanyiwa, usimfanyie mwingine.
 
We unaweza kumkamata? Maana sheria inaruhusu hata raia kukamata
 
Kwanini hadi mlipane POLICE? hii ni ishara nyie ni wasumbufu kulipa madeni ya watu, Na huyo anataka na nyie mpate taste ya kusumbuliwa kwenye mali yako halali. Muone jinsi inavyokera kudai haki yako halafu unazungushwa.

Nyie kutorudisha deni lake kwa wakati mliona sawa, ila yeye siku moja tu mshaanza milio.

MUHIMU: Mjifunze kuheshimu ratiba na mipango ya watu, ukikopa basi lipa on time ili msifikie huko. Na inawezekana jamaa alikuwa akiwapigia simu kudai chake mlikuwa hampokei.

Usilopenda kufanyiwa, usimfanyie mwingine.
Haya mambo ni Kama Tume ya Uchaguzi, ccm wanachekelea tu. Sio kwamba hawajui Ladha ya dhulma
 
Halafu nimesoma wanamuita mdai wao TAPELI, Yaani wamesahau kuwa jamaa hadi kupora simu alikuwa kwenye harakati za kudai haki yake waliyomcheleweshea. Akaona achukue sheria mkononi.

Kukopesha watu ni swala gumu sana hapa duniani, kama mtu unahitaji amani ya moyo basi epuka sana kukopesha watu, yaani USIKOPESHE kabisa, hamna mtu atakufa kisa umeshindwa kumuazima pesa.
 
Back
Top Bottom