Kwanini hadi mlipane POLICE? hii ni ishara nyie ni wasumbufu kulipa madeni ya watu, Na huyo anataka na nyie mpate taste ya kusumbuliwa kwenye mali yako halali. Muone jinsi inavyokera kudai haki yako halafu unazungushwa.Pesa yake alitumiwa yote iliyobakia 50k je polisi hawawezi mpata au ndo mpoka chochote mkononi?
Haya mambo ni Kama Tume ya Uchaguzi, ccm wanachekelea tu. Sio kwamba hawajui Ladha ya dhulmaKwanini hadi mlipane POLICE? hii ni ishara nyie ni wasumbufu kulipa madeni ya watu, Na huyo anataka na nyie mpate taste ya kusumbuliwa kwenye mali yako halali. Muone jinsi inavyokera kudai haki yako halafu unazungushwa.
Nyie kutorudisha deni lake kwa wakati mliona sawa, ila yeye siku moja tu mshaanza milio.
MUHIMU: Mjifunze kuheshimu ratiba na mipango ya watu, ukikopa basi lipa on time ili msifikie huko. Na inawezekana jamaa alikuwa akiwapigia simu kudai chake mlikuwa hampokei.
Usilopenda kufanyiwa, usimfanyie mwingine.
Halafu nimesoma wanamuita mdai wao TAPELI, Yaani wamesahau kuwa jamaa hadi kupora simu alikuwa kwenye harakati za kudai haki yake waliyomcheleweshea. Akaona achukue sheria mkononi.Haya mambo ni Kama Tume ya Uchaguzi, ccm wanachekelea tu. Sio kwamba hawajui Ladha ya dhulma