Mtu ana aga alafu unamuona yupo tu nyumbani haondoki

Sasa kwa nini wanaaga wakati jeuri ya kuondoka hawana?
 
Za jioni ba ndugu?
Kwa nini watu wanaaga humu jf alafu unawaona online?au wanauzia watu account zao?au wanarithisha ndugu zao?

Huyo hata maisha yake halisi ni ya Kinafiki.. Huyo ni wakuogopwa kuliko hata Siafu
 
Sasa kwa nini wanaaga wakati jeuri ya kuondoka hawana?
Watu hatujawahi kuchat pm tangu tujiunge jf, huu mkwara unalenga kumpata memba wa kuchati naye.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi simo[emoji125]

Kuna mmoja alikuja na kusema wafute thread zake zote lakini mpaka kesho yumooo na recently aliomba ushauri sasa kama siyo unafiki nini na hata maisha yao halisi wapo hivyooo
 
Kuna mmoja alikuja na kusema wafute thread zake zote lakini mpaka kesho yumooo na recently aliomba ushauri sasa kama siyo unafiki nini na hata maisha yao halisi wapo hivyooo
[emoji23] [emoji23] kitu kama huna uhakika nacho bora ukafanya kimyakimya
 
Kuna yule mwingine binti wa Kiarabu alifikiri mfungo utamtoa hapa akaaga, akashindwa kuondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…