Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Numbisa sitaki ugonvi na wewe tafadhali kaa mbali
Naomba umuache mke wanguJust ignore,bana ukitoa thread kubali changamoto
Naomba umuache mke wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shangazi yangu mdomo wake mzuri na,macho yake mazuri ila hayo yako duuuuh,,,,,,kama ngopango vile
Good answerSamahani kwa kukupotezea muda ukiona vipi usifungue uzi niliouleta mimi mkuu!
Masikini kaka yangu sijui kapotelea wapiWatu kama nyie ndio mmetupotezea mkuu Joseverest,mmemsema sana mpaka kaadimika Jf
Haaaaaa miss Numbisa njooWatu kama nyie ndio mmetupotezea mkuu Joseverest,mmemsema sana mpaka kaadimika Jf
Ngoja aje hilo povu sipati pichaHee kumbe ni mdada,me nilidhan mkaka,mbaba
Za jioni ba ndugu?
Kwa nini watu wanaaga humu jf alafu unawaona online?au wanauzia watu account zao?au wanarithisha ndugu zao?
Watu hatujawahi kuchat pm tangu tujiunge jf, huu mkwara unalenga kumpata memba wa kuchati naye.Sasa kwa nini wanaaga wakati jeuri ya kuondoka hawana?
Haaaaaa miss Numbisa njoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi simo[emoji125]Huyo hata maisha yake halisi ni ya Kinafiki.. Huyo ni wakuogopwa kuliko hata Siafu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi simo[emoji125]
[emoji23] [emoji23] kitu kama huna uhakika nacho bora ukafanya kimyakimyaKuna mmoja alikuja na kusema wafute thread zake zote lakini mpaka kesho yumooo na recently aliomba ushauri sasa kama siyo unafiki nini na hata maisha yao halisi wapo hivyooo