Mtu ana frem analipa milioni 4 kwa mwezi lakini hamna hata mteja

Hapo nimekuelewa
 
Ni Tanzania pekee ndio unakuta mtu anajadili fremu au biashara ambayo hailipii kodi au hana uhusiano nayo kabisa.
Mind your own business.
 
Binafsi najiulizaga sana sana huwa sipati jibu, yani unawza pita wiki vitu ni vile vile na hubahatishi hata mteja , unakuta muuzaji kalala kabisa chini ndani, yani hata kama ni kuzuga aisee dooh
 
Strategies za uzaji zipo nyingi mkuu! mambo yamebadilika now days, kwa mfano kama wateja wake wapo mitandaoni!
 
Siku zote huwa nataka kuwajibu hawa ila huwa nawaacha.
 
Ulimwengu ni mpana na mkubwa sana mkuu. Kuna uyaonayo kwa macho na kuna yasiyo onekana kwako wenzako wanayaona. Kwa akili na fikra zako za kawaida hutapata jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…