Mtu anajisifu mjini na kuhonga wanawake ila akipata msiba ukimsindikiza kwao unakuta panafanana na porini

Kuna Jambo sijalielewa hivi inakuaje unahonga mademu , mbwembwe kibao Ila mama yako anapikia kuni , anakunywa maji yenye rangi mchele je hii sio laana ya mtindio wa ubongo.
Hili swali anafaa kulijibu " Pedejee Ndama Mtoto ya Ng'ombe"
 
Ndio maana mimi huwa nawauliza sana watu humu wametokea mapori gani ?
 
Kuna Jambo sijalielewa hivi inakuaje unahonga mademu , mbwembwe kibao Ila mama yako anapikia kuni , anakunywa maji yenye rangi mchele je hii sio laana ya mtindio wa ubongo.
Kwa wengine tunaweza kuona Jambo la namna hiyo haliwezi kuwepo...yaani mama anapata shida alaf nakula life la anasa na wanawake?

Kama wapo....hakika ni Amina Fulani ya laana
 
1739981681721.jpg
 
Kuna Jambo sijalielewa hivi inakuaje unahonga mademu , mbwembwe kibao Ila mama yako anapikia kuni , anakunywa maji yenye rangi mchele je hii sio laana ya mtindio wa ubongo.
Watu wa porini hao.
 
Back
Top Bottom