Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,237
- 3,769
Acha kufatilia maisha ya watu
Hakuna anayeweza fanya hivyo labda kichaa au mtazamo wa watu wanaoona kwa njee maana unaweza kuona mtu yuko viwanja kazungukwa na pisi ukazanianatumia mipesa mingi kumbe walaKwa wengine tunaweza kuona Jambo la namna hiyo haliwezi kuwepo...yaani mama anapata shida alaf nakula life la anasa na wanawake?
Kama wapo....hakika ni Amina Fulani ya laana