Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,034
- 1,812
kufa kufaana vipi sasa hapo mkuu? au ulikuwa una wahi kumsukuma joseveret kwenye kiti chakeKufa kufaana mkuu!
Hahahakufa kufaana vipi sasa hapo mkuu? au ulikuwa una wahi kumsukuma joseveret kwenye kiti chake
Prado gari za wakinga wew bora hata hiyo gari ya kimjini mjiniMagari sio...kama huna uwezo wa kuyamudu bora uuze. Sina hamu prado ilivonila hela afu ukizingatia misele yenyewe ya town tu..kitu cc 2500 turbo afu ikafa master cylinder ikanila laki 8 ya fasta...hapo turbo haijafa..nimerudi zangu kwenye subaru..ila maza kakosea hata vits?
Ha ha ha ha haaaaa... Master cylinder laki 8? Hilo siyo gari zuri kwa usawa huu kwakweli, hata master cylinder ya scania haiuzwi hivyo! Though hata hiyo Subaru bado iko juu, turbo ya mtumba laki 8, taa laki 8.. Service ya oil tu iko juu...Magari sio...kama huna uwezo wa kuyamudu bora uuze. Sina hamu prado ilivonila hela afu ukizingatia misele yenyewe ya town tu..kitu cc 2500 turbo afu ikafa master cylinder ikanila laki 8 ya fasta...hapo turbo haijafa..nimerudi zangu kwenye subaru..ila maza kakosea hata vits?
Umeanza vizur ukaishia kuponda[emoji4]Magari sio...kama huna uwezo wa kuyamudu bora uuze. Sina hamu prado ilivonila hela afu ukizingatia misele yenyewe ya town tu..kitu cc 2500 turbo afu ikafa master cylinder ikanila laki 8 ya fasta...hapo turbo haijafa..nimerudi zangu kwenye subaru..ila maza kakosea hata vits?
Hapana mkuu mi subaru nilonayo haina turbo...Ha ha ha ha haaaaa... Master cylinder laki 8? Hilo siyo gari zuri kwa usawa huu kwakweli, hata master cylinder ya scania haiuzwi hivyo! Though hata hiyo Subaru bado iko juu, turbo ya mtumba laki 8, taa laki 8.. Service ya oil tu iko juu...
Sijaponda, nimeongea hali halisi...kama kanumba alikua na VX na huyo mama hakuimudu iweje akose hata vits ambayo ataimudu...Umeanza vizur ukaishia kuponda[emoji4]
Kweli kiongozi...huyu dogo angetulia tu na maisha yake,mambo ya media na kujipatia umaarufu angetupilia mbali angalau hata kwa miaka 10....zen ndio tumuone tena kweny media,hii ingesaidia kwa famailia ya kanumba kusahau na hata kufutilia mbali kesi hiyo.....lkn kwa jinsi anavyokula bata na kila siku anasikika mitandaoni hii itamgharimu sana kushinda hyo kesi.Baada ya kutoka mahakamani amesikika akiulizwa mama una gari akasema akha tunapanda bajaji
Hii kesi naona bora ingefutwa tu
Pili.lulu kakosea sana angejaribu kuweka ukaribu na mama kanumba,
Tatu angekuwa anafanya maendeleo yake kimya kimya bila social media kwa sana,
Alafu watanzania wanafiki sana leo hii wanajifanya kuwa na huruma na lulu wakati walimponda sana kipindi cha msiba,
Familia ya Kanumba sidhani kama ina uwezo wa kuifuta hii kesi. Ninavyojua kesi za hivi na za ubakaji zinakuwa serikali vs mtuhumiwa..Kweli kiongozi...huyu dogo angetulia tu na maisha yake,mambo ya media na kujipatia umaarufu angetupilia mbali angalau hata kwa miaka 10....zen ndio tumuone tena kweny media,hii ingesaidia kwa famailia ya kanumba kusahau na hata kufutilia mbali kesi hiyo.....lkn kwa jinsi anavyokula bata na kila siku anasikika mitandaoni hii itamgharimu sana kushinda hyo kesi.
Ok nilikuwa sifahamu hiiiFamilia ya Kanumba sidhani kama ina uwezo wa kuifuta hii kesi. Ninavyojua kesi za hivi na za ubakaji zinakuwa serikali vs mtuhumiwa..