kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
Hawezi kuishi bila kiki na show off hata leo mahakamani kila mtu na lakeWaligombana nakumbuka mpaka kusema lulu hamsaidii kwa chochote yaan lulu hajui tu mambo ya mitandaoni angeachana nayo kabisa kama kupost apost mambo ya kazi zake za film tu huyu mama bado ana duku duku nae
Hii sasa n misifa, ongera kwa kuendesha pradoMagari sio...kama huna uwezo wa kuyamudu bora uuze. Sina hamu prado ilivonila hela afu ukizingatia misele yenyewe ya town tu..kitu cc 2500 turbo afu ikafa master cylinder ikanila laki 8 ya fasta...hapo turbo haijafa..nimerudi zangu kwenye subaru..ila maza kakosea hata vits?
Sa afanyaje.... ???Kesi kama hizi ni kupotezeana mda tu.... Nimeskiliza ushahidi wa mdogo wake Kanumba, nikaona huyo jamaa na huo ushahidi wake alio upeleka mahakani leo, nimemwona jamaa ni bogus
Achane na hiyo kesi... Apambane na maisha, asitafute huruma huko mahakamani akidhani atalipwa fidiaSa afanyaje.... ???
LifeKazi kwelikweli...Ndio maisha yanabadilika
1. Where there is evidence of a fight it is not safe to infer malice aforethought. In this regard, it will always be safe to ground a conviction of manslaughter instead of murder.
2. Death resulting from a fight- see also Juma G. Timbulu v R, Criminal Appeal No. 27 of 1991 and Moses Chichi v R, [1994] TLR 222 on the issue.-
Kwan kasemaje kakaKesi kama hizi ni kupotezeana mda tu.... Nimeskiliza ushahidi wa mdogo wake Kanumba, nikaona huyo jamaa na huo ushahidi wake alio upeleka mahakani leo, nimemwona jamaa ni bogus
Hawawezi kufuta hii kesi ni lulu Vs jamhuri mkuu na sio familia ya kanumbaKweli kiongozi...huyu dogo angetulia tu na maisha yake,mambo ya media na kujipatia umaarufu angetupilia mbali angalau hata kwa miaka 10....zen ndio tumuone tena kweny media,hii ingesaidia kwa famailia ya kanumba kusahau na hata kufutilia mbali kesi hiyo.....lkn kwa jinsi anavyokula bata na kila siku anasikika mitandaoni hii itamgharimu sana kushinda hyo kesi.
Usitudanganye aisee kuna wasanii wana hela kama mondi,vitu anavyofanya vinaonekana waziwazi wataka utudanganye kitoto hapa? hebu fatilia mikataba yao vizuriWasanii wengi hawana ela. Wanaishi maisha ya showoff. Unaweza kukuta Kanumba hakuwa na gari hata moja, zote alikuwa anaazima...
Same as Diamond. Unaweza kukuta hana ela kama anavyojishow... Au Masanja Mkandamizaji