Mtu anapigwa misumali ya kichwa na mikononi utaniambiaje ni mkuu mwenye nguvu?

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Hii inanishangaza na kunifikirisha kabisa hivi unakuwaje mtu ni mkuu na mwenye nguvu halafu anashindiliwa misumali kichwani na mikononi halafu utasemaje ni mkuu mwenye nguvu na miujiza?

Halafu tena mtu huyo huyo wapambe wake na wanafunzi wake wanamuangalia tu hii inafikirisha Sana yawezekana tumepigwa hapa
 
Wewe soma Quran ndio utapata ukweli kuhusu Nabii Isa. Injili ni Kitabu cha Mwenyezi Mungu ila watu wamekibadilisha sana, ukweli wakaweka uongo.
Huyo aliyeuliwa msalabani wala sio Yesu ni yule aliyemsaliti. Hii ni kwa mujibu wa sisi waislamu.

Yesu mwenyewe hajafa wala hajasulubiwa ila alipaishwa mbinguni ambako yuko huko mpaka sasa.

Kiama kinapokaribia atarudi tena duniani na wakati huu atawashangaa sana wale wanaomuabudu kwani yeye mwenyewe atakuwa anamuabudu Mungu.
 
Guy, you are too physical. Mambo yote yanaanzia rohoni. Ni Roho.....

Ndio maana wachawi wanawashinda kirahisi maana vita inapofika physical umeshashindwa.

Haujiulizi uliingiaje tumboni mwa mama yako na ukatoka ukiwa kamili na viungo vyote? Acha kulinganisha Mungu na mawazo yako duni. Unataka usome Quran halafu ujibu maswali ya Biblia. Jibu kila moja kulingana na elimu yake.
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Hii inanishangaza na kunifikirisha kabisa hivi unakuwaje mtu ni mkuu na mwenye nguvu halafu anashindiliwa misumali kichwani na mikononi halafu utasemaje ni mkuu mwenye nguvu na miujiza?

Halafu tena mtu huyo huyo wapambe wake na wanafunzi wake wanamuangalia tu hii inafikirisha Sana yawezekana tumepigwa hapa
Kuingalia kwa logic ilio wazi biblia iko na makosa saana ya kiuandishi ndo maana inafanyiwa editing kila kukicha , na waafrika wamefanya biashara wapo radhi kutukana ukweli ili walinde ajira zao.
 
Wewe soma Quran ndio utapata ukweli kuhusu Nabii Isa. Injili ni Kitabu cha Mwenyezi Mungu ila watu wamekibadilisha sana, ukweli wakaweka uongo.
Huyo aliyeuliwa msalabani wala sio Yesu ni yule aliyemsaliti. Hii ni kwa mujibu wa sisi waislamu.

Yesu mwenyewe hajafa wala hajasulubiwa ila alipaishwa mbinguni ambako yuko huko mpaka sasa.

Kiama kinapokaribia atarudi tena duniani na wakati huu atawashangaa sana wale wanaomuabudu kwani yeye mwenyewe atakuwa anamuabudu Mungu.
🤔
 
Hii inanishangaza na kunifikirisha kabisa hivi unakuwaje mtu ni mkuu na mwenye nguvu halafu anashindiliwa misumali kichwani na mikononi halafu utasemaje ni mkuu mwenye nguvu na miujiza?

Halafu tena mtu huyo huyo wapambe wake na wanafunzi wake wanamuangalia tu hii inafikirisha Sana yawezekana tumepigwa hapa
ALa ===devil
 
Nakumbuka mkuu wa awamu ya 5 ilikuwa vile, sasa huyu mfalme wa wafalme anakuwa kama wanaume wa kinondoni
 
Ukombozi kututoa kwenye dhambi ya enzi.
lakin pia ukisikiliza mahubiri wanasema mungu ni muweza akitaka jambo liwe lina kua hapo ndio hua najiuliza kwenye tukio hilo la kutu komboa wanadamu alitumia nguvu kubwa na njia ndefu sana.
maana msela walimgonga misumari ya inch 7 tena kiroho mbaya.
 
Hii inanishangaza na kunifikirisha kabisa hivi unakuwaje mtu ni mkuu na mwenye nguvu halafu anashindiliwa misumali kichwani na mikononi halafu utasemaje ni mkuu mwenye nguvu na miujiza?

Halafu tena mtu huyo huyo wapambe wake na wanafunzi wake wanamuangalia tu hii inafikirisha Sana yawezekana tumepigwa hapa
Bangi haijakuingia vizuri, ongeza vupisi vingine kumi Na ndizi nane za kuoonda Mwaisa
 
Back
Top Bottom