Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Wewe soma Quran ndio utapata ukweli kuhusu Nabii Isa. Injili ni Kitabu cha Mwenyezi Mungu ila watu wamekibadilisha sana, ukweli wakaweka uongo.Hii inanishangaza na kunifikirisha kabisa hivi unakuwaje mtu ni mkuu na mwenye nguvu halafu anashindiliwa misumali kichwani na mikononi halafu utasemaje ni mkuu mwenye nguvu na miujiza?
Halafu tena mtu huyo huyo wapambe wake na wanafunzi wake wanamuangalia tu hii inafikirisha Sana yawezekana tumepigwa hapa
Guy, you are too physical. Mambo yote yanaanzia rohoni. Ni Roho.....Hii inanishangaza na kunifikirisha kabisa hivi unakuwaje mtu ni mkuu na mwenye nguvu halafu anashindiliwa misumali kichwani na mikononi halafu utasemaje ni mkuu mwenye nguvu na miujiza?
Halafu tena mtu huyo huyo wapambe wake na wanafunzi wake wanamuangalia tu hii inafikirisha Sana yawezekana tumepigwa hapa
Kuingalia kwa logic ilio wazi biblia iko na makosa saana ya kiuandishi ndo maana inafanyiwa editing kila kukicha , na waafrika wamefanya biashara wapo radhi kutukana ukweli ili walinde ajira zao.Hii inanishangaza na kunifikirisha kabisa hivi unakuwaje mtu ni mkuu na mwenye nguvu halafu anashindiliwa misumali kichwani na mikononi halafu utasemaje ni mkuu mwenye nguvu na miujiza?
Halafu tena mtu huyo huyo wapambe wake na wanafunzi wake wanamuangalia tu hii inafikirisha Sana yawezekana tumepigwa hapa
🤔Wewe soma Quran ndio utapata ukweli kuhusu Nabii Isa. Injili ni Kitabu cha Mwenyezi Mungu ila watu wamekibadilisha sana, ukweli wakaweka uongo.
Huyo aliyeuliwa msalabani wala sio Yesu ni yule aliyemsaliti. Hii ni kwa mujibu wa sisi waislamu.
Yesu mwenyewe hajafa wala hajasulubiwa ila alipaishwa mbinguni ambako yuko huko mpaka sasa.
Kiama kinapokaribia atarudi tena duniani na wakati huu atawashangaa sana wale wanaomuabudu kwani yeye mwenyewe atakuwa anamuabudu Mungu.
ALa ===devilHii inanishangaza na kunifikirisha kabisa hivi unakuwaje mtu ni mkuu na mwenye nguvu halafu anashindiliwa misumali kichwani na mikononi halafu utasemaje ni mkuu mwenye nguvu na miujiza?
Halafu tena mtu huyo huyo wapambe wake na wanafunzi wake wanamuangalia tu hii inafikirisha Sana yawezekana tumepigwa hapa
Nakumbuka mkuu wa awamu ya 5 ilikuwa vile, sasa huyu mfalme wa wafalme anakuwa kama wanaume wa kinondoniHii inanishangaza na kunifikirisha kabisa hivi unakuwaje mtu ni mkuu na mwenye nguvu halafu anashindiliwa misumali kichwani na mikononi halafu utasemaje ni mkuu mwenye nguvu na miujiza?
Halafu tena mtu huyo huyo wapambe wake na wanafunzi wake wanamuangalia tu hii inafikirisha Sana yawezekana tumepigwa hapa
Bangi haijakuingia vizuri, ongeza vupisi vingine kumi Na ndizi nane za kuoonda MwaisaHii inanishangaza na kunifikirisha kabisa hivi unakuwaje mtu ni mkuu na mwenye nguvu halafu anashindiliwa misumali kichwani na mikononi halafu utasemaje ni mkuu mwenye nguvu na miujiza?
Halafu tena mtu huyo huyo wapambe wake na wanafunzi wake wanamuangalia tu hii inafikirisha Sana yawezekana tumepigwa hapa