Wakuu,naongeza changamoto katika suala hili !
Wakuu,naongeza changamoto katika suala hili !
Ndugu yangu MziziMKavu, hapo kwenye Red; hili ndio tatizo kubwa la sisi wanadamu: IMANI HABA, sasa kama unakua na mtazamo hasi na imani haba kiasi hicho unawezaje kupona ukienda kanisani kuombewa? Nimeona hata kwa comments humu wengi wanaonyesha kutoamini miujiza kwa jina la Yesu, and that is EXACTLY WHY THEY HAVE NEVER EXPERIENCED ANY OR WILL NEVER SEE ANY MIRACLE in their lives!!!.
Kumbuka hata wakati wa Bwana Yesu alipokuwepo duniani pamoja na upako na uweza mkuu uliokuwa juu yake si wote waliponywa, ilitegemea na imani na mtazamo wa muhusika. Kuna siku alikwenda kwenye mji wa Nazareti na wakawa wanam-despise, ikawaje?: "[SUP]57 [/SUP]And they took offense at Him...[SUP]58 [/SUP]And He did not do miracles there because of their unbelief." Matthew 13:57-58
Tafakari.....
Kwake Yesu kila jambo linawezekana!!!! Amen
...labda kuna makosa yalifanyika katika vipimo vyake na hivyo kuonekana kama alikuwa HIV+ wakati si hivyo. Nimeshaona kesi nchi mbali mbali ambazo wahusika waliambiwa wako HIV+ kumbe kuna makosa yalifanyika na baadaye baadhi yao waliamua kufungua mashtaka dhidi ya hospitali na madaktari waliowapa hitimisho ambalo halikuwa kweli. Vinginevyo siamini kama unaweza kuponywa kimiujiza.
mkuu mimi napingana na kauli moja tu na ndio maana nipo kwenye msimamo wangu wa kupinga ni hivi je mtu mchafu anaweza kumuombea mgonjwa akapona? mchafu maana yake nini maana yake anaishi kwa unafiki anajifanya mtumishi wa mungu kumbe anatafuta pesa ya kwa ajili ya biashara yake, navyojua mimi mchungaji wa kweli ni yule ambae anaewachunga kondoo wake vyema kondoo wako mbele yeye nyuma huku akiwapeleka sehemu iliyo na malisho bora na kondoo wake wakapata afya njema na sifa na utukufu atapata mchungaji kwa malisho bora sasa hawa wachungaji wetu wao wanatangulia mbele kondoo nyuma nani atawaonyesha malisho bora kwa hawa kondoo?? no way please tusiishi kinafiki kabisa kabisa nitalipinga mpka mwisho. mchungaji anamiliki ndege, magari ila akitokea muumini anaumwa usafiri hata wa kumpeleka hospt akodi?? hili sitaki naomba nibake na imani yangu tu halafu siku nitakapokufa ndipo tutakapokutana huko huko kama kweli kupo tuone hukumu zinavyotolewa mtashangaa sana sema hutakuwa na muda wa kurudi duniani kuleta umbea.
Sawa kabisa kk tatizo shetani anatudanganya na dhambi kumbe yesu alisha kwisha vunja msalabani ndomana ukisoma isaya 53:5 kwa kupigwa kwake sisi tumepona watu hawataki amini hayo yote