Ndugu yangu MziziMKavu, hapo kwenye Red; hili ndio tatizo kubwa la sisi wanadamu: IMANI HABA, sasa kama unakua na mtazamo hasi na imani haba kiasi hicho unawezaje kupona ukienda kanisani kuombewa? Nimeona hata kwa comments humu wengi wanaonyesha kutoamini miujiza kwa jina la Yesu, and that is EXACTLY WHY THEY HAVE NEVER EXPERIENCED ANY OR WILL NEVER SEE ANY MIRACLE in their lives!!!.
Kumbuka hata wakati wa Bwana Yesu alipokuwepo duniani pamoja na upako na uweza mkuu uliokuwa juu yake si wote waliponywa, ilitegemea na imani na mtazamo wa muhusika. Kuna siku alikwenda kwenye mji wa Nazareti na wakawa wanam-despise, ikawaje?: "[SUP]57 [/SUP]And they took offense at Him...[SUP]58 [/SUP]And He did not do miracles there because of their unbelief." Matthew 13:57-58
Tafakari.....