Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
100% hasira na vipaumbele vyetu watz kama ilivyo kwa wafrika wote.Watanzania ni watu wa kipekee sana. Hapo atapita mwizi wa mchicha fungu moja watapiga waue kabisa ila binadamu anaibwa wanatazama tu. Tupo hivyo.
Ipo hivyo
Haibadiliki damu yetu
Hii ni mzuri, raia lazima wajithamini. Kwasababu wanaochukuliwa sio tu wanasiasa hata wafanyabiashara wadogo na wakubwa.Dar hakuna wanaume mkuu! Yaani wapo wapo tu nawaangaliaaa! Mwanza kuna watu walitaka kumchukua mfanyabiashara kwa kisingizio eti wao ni Polisi, raia wakawaweka chini ya ulinzi wakitaka mpaka Mkuu wa Kituo cha Poloso Pamba aje kwenye tukio kuwathibitishia kwamba hao ni polisi kweli! Dar jirekebisheni bwana!
Ukiingilia utendaji wao.....watakuua live....hata kama kikundi kimesaidia mtu wao wakamkosa.....mjipange watarudiii vibaya sanaaaWakuu,
Mtu wa pili huyu anatekwa sehemu ambayo kuna watu na hakuna kitu raia tunafanya? Tunasubiri apotee ndio tuje mtandaoni kuanza kulaani na kulisema Jeshi la Polisi, Samia na Serikali yake?!
Pia soma: Breaking News: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulika katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Wana Dar tuna nini? Ndio hatuna umoja kiasi hiki? Hili jambo lingetokea Chuga au sehemu nyingine wangekiwasha hadi kieleweke, na ijulikane hao watu ni akina nani.
Wamejaribu kwa bonge wakaona jinsi watu hatuna umoja, leo wakaenda kwa chembamba wamprove kuwa wananchi tupo tupo tu!
Kwanini lakini tunakuwa mazombi hivi?
Inasikitisha sanaWatanzania ni watu wa kipekee sana. Hapo atapita mwizi wa mchicha fungu moja watapiga waue kabisa ila binadamu anaibwa wanatazama tu. Tupo hivyo.
Ipo hivyo
Haibadiliki damu yetu
Mzee bunduki inatisha.....ndip siraha inayoogopwa na Binadamu wote Duniani.Ukiingilia utendaji wao.....watakuua live....hata kama kikundi kimesaidia mtu wao wakamkosa.....mjipange watarudiii vibaya sanaaa
Tunakoelekea mwendo utakuwa ni kuwatreat kama wezi watakuja kubeba masaliaBunge limefanya mabadiliko ya Sheria yanayolinda maafisa usalama wakifanya jinai wakati wakitekeleza majukumu yao! Wakifanikiwa kukuchukua wanakuwa ni "watu wasiojulikana", ukiwadhibiti au ukiwatambua wanageuka kuwa "maafisa usalama", na hapo kosa unakuwa nalo wewe! Tufuatilie bunge jamani
Nakuambiaas watakurudia wakuueeerMzee bunduki inatisha.....ndip siraha inayoogopwa na Binadamu wote Duniani.
Ni mindset tu Mkuu, wezi na majambazi huwa hawana gangs za kuwarudia wananchi, lakini wanashughulikiwa.... wananchi tumesahau nguvu yetu! Unaamini hatuwezi kuwadhibiti hawa wahuni wachache kweli? Na hiki ndio kinawapa nguvu ya kuendelea kufanya wanayofanyaUkiingilia utendaji wao.....watakuua live....hata kama kikundi kimesaidia mtu wao wakamkosa.....mjipange watarudiii vibaya sanaaa
Madini hayaBunge limefanya mabadiliko ya Sheria yanayolinda maafisa usalama wakifanya jinai wakati wakitekeleza majukumu yao! Wakifanikiwa kukuchukua wanakuwa ni "watu wasiojulikana", ukiwadhibiti au ukiwatambua wanageuka kuwa "maafisa usalama", na hapo kosa unakuwa nalo wewe! Tufuatilie bunge jamani
Wale sio.majambaxi.mkuu naongea nachokijuaa.....wana kinga na ild order halali....sio polisi wale oihhhh wanakuua....kwa interest ya nchi...periodhakuna kuhoji....huyo mzee wa Tanga iko hivyo....hakuna story tenaNi mindset tu Mkuu, wezi na majambazi huwa hawana gangs za kuwarudia wananchi, lakini wanashughulikiwa.... wananchi tumesahau nguvu yetu! Unaamini hatuwezi kuwadhibiti hawa wahuni wachache kweli?
Ndio nimekuuliza unaamini kweli wananchi hatuwezi kushughulika na hao wahuni?Wale sio.majambaxi.mkuu naongea nachokijuaa.....wana kinga na ild order halali....sio polisi wale oihhhh wanakuua....kwa interest ya nchi...periodhakuna kuhoji....huyo mzee wa Tanga iko hivyo....hakuna story tena
Wewe ungefanyaje? Tatizo la hii nchi ni kuwa na Idadi kubwa sana ya Keybord woriour. Tuna Keybord woriou wengi kuliko Taifa lolote lile Duniani.Wakuu,
Mtu wa pili huyu anatekwa sehemu ambayo kuna watu na hakuna kitu raia tunafanya? Tunasubiri apotee ndio tuje mtandaoni kuanza kulaani na kulisema Jeshi la Polisi, Samia na Serikali yake?!
Pia soma: Breaking News: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulika katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Wana Dar tuna nini? Ndio hatuna umoja kiasi hiki? Hili jambo lingetokea Chuga au sehemu nyingine wangekiwasha hadi kieleweke, na ijulikane hao watu ni akina nani. Walau hata kwa Bonge walijiongeza tukio likarekodiwa, huko watu wamekaa tu kama ndezi.
Wamejaribu kwa bonge wakaona jinsi watu hatuna umoja, leo wakaenda kwa chembamba wamprove kuwa wananchi tupo tupo tu!
Kwanini lakini tunakuwa mazombi hivi?
Alisema wapi hayo maneno unaweza kunipa ad verbatim..., Na in comparison Kenya na Tanzania utekaji, mauaji na unyangau wapi yametamalaki ? Watu wangekuwa wanamu take to task angeweza kujimilikisha ma Ardhi yeye na vikaragosi vyake ?Kenyatta alikuwa sahihi kusema Nyerere anaongoza maiti
Mimi nashauri .....tusijatibu tupambane kubadili ile sheria iliyowapa nguvu....kosa likokule .....mazingira kukutesa huwa haraka sana ...na mguvu kubwa.....ukiwa huma mbavu....dak 2 uko ndani gari.....pia its higly timing .....sehemu tulivu kidogoo.....sikia tuuuuNdio nimekuuliza unaamini kweli wananchi hatuwezi kushughulika na hao wahuni?