MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wananchi wasihofu. Jana watekaji walikuwa kwenye mazoezi ya utayari.Wakitumaliza sisi watageukiana wao kwa wao! Watageukana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananchi wasihofu. Jana watekaji walikuwa kwenye mazoezi ya utayari.Wakitumaliza sisi watageukiana wao kwa wao! Watageukana
Ni kama Watanzania wamelogwa, hakuna umoja kabisa katika kulindana.Wakuu,
Mtu wa pili huyu anatekwa sehemu ambayo kuna watu na hakuna kitu raia tunafanya? Tunasubiri apotee ndio tuje mtandaoni kuanza kulaani na kulisema Jeshi la Polisi, Samia na Serikali yake?!
Pia soma: Breaking News: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulika katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Wana Dar tuna nini? Ndio hatuna umoja kiasi hiki? Hili jambo lingetokea Chuga au sehemu nyingine wangekiwasha hadi kieleweke, na ijulikane hao watu ni akina nani. Walau hata kwa Bonge walijiongeza tukio likarekodiwa, huko watu wamekaa tu kama ndezi.
Wamejaribu kwa bonge wakaona jinsi watu hatuna umoja, leo wakaenda kwa chembamba wamprove kuwa wananchi tupo tupo tu!
Kwanini lakini tunakuwa mazombi hivi?