Mtu anatekwa Stendi ya Magufuli huku watu wanaangalia? Wananchi tunatakiwa kujitafakari, imekuaje tumekuwa mazombi hivi?

Mtu anatekwa Stendi ya Magufuli huku watu wanaangalia? Wananchi tunatakiwa kujitafakari, imekuaje tumekuwa mazombi hivi?

Moderetor nimechoka nimechoka,
Sijui kama mkurugenzi wa Jamii forum na wewe moderetor mnaishi DSM kama mpo hapo jijijini jitafakarini

Yaani mkijaga mikoani mnaonekana watu wa maana mnang' ara mnavutia. Kumbe watu wa ovyo kabisa
Haiwezekani Ally kibao alitekwa na kuuawa MKOANI Kwenu jiji la wajanja na vitambi VYENU vya ajabu ajabu

Haya Sativa alitekwa DSM akatupwa katavi mpo tyuuuu,
Haya Bonge Tarimo ilibakia nusu TU waondoke nae mliishia kurekodi video ili sisi WANAUME wa mikoani tuwasaidie

Soka na wenzake wakina mlay wameitwa kituo Cha polisi aliye waita mnaishi Mae hapo mtaani aise na wengine mnakunywa nae bia so fuckin kabisa mwanaume ya ajabu hii sijui inakuraga ROJO?

Haya Leo pale stendi eti kachukuliwa nondo mwenyekiti wa ngome ya vijana real pale stendi Kuna WANAUME kibao mmeshindwa kuzuia gari kenge maji kabisa nyie Tena huku mikoani MSIJE kabisa bakini uko kwen utekwe mpaka ufe

Najiuliza hapa kwa Nini msipelekwe Tanga kama walivyo wamasai mkachese vibao kata?

Kwa Nini msipelekwe zanzibari Pemba kule tukawachezee viuno VYENU au mplekekwe kizimkazk.kabisa
 
Hata wengi wa mikoani wakiingia Dsm, baada ya muda nao wanalegea.....

I wonder when I see
The slogan when I pass
Eat more fruit the slogan says ...........................
 
Hakuna watu waoga tz Kama watu wa Dar!
Dar es Salaam inaishi muzoga ile ambayo Mzee Jomo Kenyata aliita maiti.

Dar ndiyo iliyojenga taswira mbaya ya nchi yetu, kiasi cha kuonekana ni nchi iliyojaa wapiga domo, vitendo sifuri.
 
Kwa mujibu wa mtu aliyeshuhudia tukio hilo, amesema watu walitaka kusogea ila watekaji waliwanyooshea pisto kama wanataka kuwashuti wakaogopa na kurudi nyuma watekaji wakaondoka na gari lao.

Ila anadai kuna kamera pale Magufuli, Mkuu wa kituo atoe picha tuone ni akina nai hao.

Anadai kuna simu na pingu kapewa mkuu wa kituo cha Magufuli vilivyodondoshwa na watekaji so inabidi atuambie ni akina nai hao.
Dar kuna mazombi wengi sana. Siku utapata tatizo ndo utaijua Dar ilivyojaa masanamu badala ya binadamu. Ukinyooshewa Pisto ndo unaogopa? Mnashindwa kurusha hata mawe ili ijulikane moja?
 
Unamkumbuka Harmorapa.... alikimbia baada ya kuona mashine!

Anyways, ni rahisi kuongea kuhusu situation ambayo haukuwepo
 
Mtu hupata hasira pale yanapomkuta yeye.
Chadema walishazoea kutekwa, ACT walikuwa kimya,wameguswa wao
 
Wakuu,

Mtu wa pili huyu anatekwa sehemu ambayo kuna watu na hakuna kitu raia tunafanya? Tunasubiri apotee ndio tuje mtandaoni kuanza kulaani na kulisema Jeshi la Polisi, Samia na Serikali yake?!

Pia soma: Breaking News: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulika katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Wana Dar tuna nini? Ndio hatuna umoja kiasi hiki? Hili jambo lingetokea Chuga au sehemu nyingine wangekiwasha hadi kieleweke, na ijulikane hao watu ni akina nani. Walau hata kwa Bonge walijiongeza tukio likarekodiwa, huko watu wamekaa tu kama ndezi.

Wamejaribu kwa bonge wakaona jinsi watu hatuna umoja, leo wakaenda kwa chembamba wamprove kuwa wananchi tupo tupo tu!

Kwanini lakini tunakuwa mazombi hivi?
1. Kwa mtazamo wangu, kutojua sheria, na polisi kuwafungulia watu kesi ya 'kuzuia polisi kufanya kazi yake' kunachangia raia wakihisi au wakijua wanaofanya hivyo ni polisi.
2. Nchi za Ulaya na Marekani ukihisi au ukishuhudia kutendeka kwa uhalifu unapiga simu polisi na haichukui muda polisi wanafika.
3. Kuna matukio raia wakisaidia wanapigwa wao, kuuawa au kujeruhiwa, na kama ni issue inayohusiana na polisi wanakamatwa.
4. Wakati mwingine wanaofanya hivyo wana silaha, na raia wanahofia usalama wao.
5. Mambo yote hayo manne wanafanya raia kushindwa kutoa msaada wowote unaweza kupatikana kwa kuogopa 'inherent human risks'.
 
Wakuu,

Mtu wa pili huyu anatekwa sehemu ambayo kuna watu na hakuna kitu raia tunafanya? Tunasubiri apotee ndio tuje mtandaoni kuanza kulaani na kulisema Jeshi la Polisi, Samia na Serikali yake?!

Pia soma: Breaking News: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulika katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Wana Dar tuna nini? Ndio hatuna umoja kiasi hiki? Hili jambo lingetokea Chuga au sehemu nyingine wangekiwasha hadi kieleweke, na ijulikane hao watu ni akina nani. Walau hata kwa Bonge walijiongeza tukio likarekodiwa, huko watu wamekaa tu kama ndezi.

Wamejaribu kwa bonge wakaona jinsi watu hatuna umoja, leo wakaenda kwa chembamba wamprove kuwa wananchi tupo tupo tu!

Kwanini lakini tunakuwa mazombi hivi?
Watu wamebeba silaha za moto, Mwananchi wa kawaida atafanyaje kwa mfano .
 
Wakuu,

Mtu wa pili huyu anatekwa sehemu ambayo kuna watu na hakuna kitu raia tunafanya? Tunasubiri apotee ndio tuje mtandaoni kuanza kulaani na kulisema Jeshi la Polisi, Samia na Serikali yake?!

Pia soma: Breaking News: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulika katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Wana Dar tuna nini? Ndio hatuna umoja kiasi hiki? Hili jambo lingetokea Chuga au.Vijznz wa kizazi sehemu nyingine wangekiwasha hadi kieleweke, na ijulikane hao watu ni akina nani. Walau hata kwa Bonge walijiongeza tukio likarekodiwa, huko watu wamekaa tu kama ndezi.

Wamejaribu kwa bonge wakaona jinsi watu hatuna umoja, leo wakaenda kwa chembamba wamprove kuwa wananchi tupo tupo tu!

Kwanini lakini tunakuwa mazombi hivi?

Vijana wengi wamekelewa kimama mama. Wamama wamewalemaza sana watoto hasa wa kiume.

Ukiangalia hata kwenye vyama vya upinzani wanawake ni strong kuliko vijana wa kiume.

Zamani mimi nilijua kijana ni mwanaume tu. Sikujua kuwa mabinti nao wanaitwa vijana.

Yaani tulishaelezana mtu akitekwa wafu wakodishe pikipiki nne waifuatilie hili gari mpaka kituo cha polisi na kama hapekekwi polisi basi waombe msaada polisi na kuelekeza walipo na ndugu yao . Akipelekwa sehemu tofauti na polisi basi hilo eneo liwe ni uwanja wa mapambano na ikiwezekana gari na eneo lote hilo lipigwe moto mkubwa kama wa jehanam.

Ubaya Ubwela.

Ila kuna ka agenda ka baya sana kwenye kauli mbiu ya mitano tena .

Fuatilieni Kwenye mitandao.
Wanavyotukanwa maaskofu katika kutimiza kazi yao ya kichungaji.

Mabeyo alitukosea sana . Mtu aliyeingiaafarakani kwa bahati Nasibu hawezi kuwa hivyo.
 
Dar unaibiwa watu wanakuangalia.

Dar unaporwa simu na vibaka Raia wanakuangalia

Dar unatekwa stand Raia wanakuangalia bila kuhoji

Dar mji wa wajanja,hakuna kama Dar Tanzania 😀😝
ulinzi shirikishi umefia wapi?
 
Wakuu,

Mtu wa pili huyu anatekwa sehemu ambayo kuna watu na hakuna kitu raia tunafanya? Tunasubiri apotee ndio tuje mtandaoni kuanza kulaani na kulisema Jeshi la Polisi, Samia na Serikali yake?!

Pia soma: Breaking News: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulika katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Wana Dar tuna nini? Ndio hatuna umoja kiasi hiki? Hili jambo lingetokea Chuga au sehemu nyingine wangekiwasha hadi kieleweke, na ijulikane hao watu ni akina nani. Walau hata kwa Bonge walijiongeza tukio likarekodiwa, huko watu wamekaa tu kama ndezi.

Wamejaribu kwa bonge wakaona jinsi watu hatuna umoja, leo wakaenda kwa chembamba wamprove kuwa wananchi tupo tupo tu!

Kwanini lakini tunakuwa mazombi hivi?
Kwa akili Yako unaweza mtegemea Mtanzania akusaidie?

Pili hapa Tanzania mwenye ushahidi au Raina mwema hugeuka adui na kutakiwa kusaidia Polisi.

Hii ndio hasara ya kujenga jamii ya uoga na kinafiki.
 
wAAYu9E.jpg
 
Back
Top Bottom