Mtu anatekwa Stendi ya Magufuli huku watu wanaangalia? Wananchi tunatakiwa kujitafakari, imekuaje tumekuwa mazombi hivi?

Ni kama Watanzania wamelogwa, hakuna umoja kabisa katika kulindana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…