Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Aug 12, 2024 #1 Wengi wao wakiachwa au ndoa zikiwashindwa huwa wanarudia tabia zao mbovu. Rejea: Dada mwenye Msambwanda heavy East Africa nzima, sasaivi amerudia uhalisia wake wa kupost picha za hovyo. Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria
Wengi wao wakiachwa au ndoa zikiwashindwa huwa wanarudia tabia zao mbovu. Rejea: Dada mwenye Msambwanda heavy East Africa nzima, sasaivi amerudia uhalisia wake wa kupost picha za hovyo. Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria
denoo JG JF-Expert Member Joined Oct 27, 2023 Posts 2,701 Reaction score 9,759 Aug 12, 2024 #3 Tabia hubadilishwa kwa muda na utayari, haibadilishwi kwa tendo la kufunga ndoa.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Aug 12, 2024 #4 Mjanja M1 said: Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria Click to expand... Tuonane mkuu nipo Innere Stadt
Mjanja M1 said: Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria Click to expand... Tuonane mkuu nipo Innere Stadt
Nyamwi255 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 4,848 Reaction score 12,776 Aug 13, 2024 #5 Aaminiwe nani Sasa...? Mbona mnatuchanganya...
Natafuta Ajira JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 9,016 Reaction score 24,650 Aug 13, 2024 #6 Mjanja M1 said: Wengi wao wakiachwa au ndoa zikiwashindwa huwa wanarudia tabia zao mbovu. Rejea: Dada mwenye Msambwanda heavy East Africa nzima, sasaivi amerudia uhalisia wake wa kupost picha za hovyo. Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria Click to expand... Nilishawahi kusema hapa, usipuuze past ya mwanamke.
Mjanja M1 said: Wengi wao wakiachwa au ndoa zikiwashindwa huwa wanarudia tabia zao mbovu. Rejea: Dada mwenye Msambwanda heavy East Africa nzima, sasaivi amerudia uhalisia wake wa kupost picha za hovyo. Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria Click to expand... Nilishawahi kusema hapa, usipuuze past ya mwanamke.