Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Matokeo ya darasa la saba yanaonyesha wanafunzi walioanza std 1 mwaka 2016 walikuwa 1,38692. Waliosajiliwa kufanya mtihani wa la saba mwaka 2022 ni 1,384,186. Ni kama watoto 2,406 ndiyo walikwama njiani.
Lakini takwimu nyingine zinaonyesha mwaka 2016 Std 1 kulikuwa na watoto 2,120,667. Kwa takwimu hizi maana yake watoto 836,441 waliishia njiani. Anayezielewa atuambie. Maana kama watoto laki nane+ hawamalizi la saba tatizo ni kubwa sana.