Huo mwaka ndio mwaka ambao elimu Bure ilitangazwa na DR. JPM, Watoto wengi walijiunga huku wengine wakiwa hata sare au sehemu ya hawana. Baadae viongozi wakaanza vijimichango vya hapa na pale Mara madawati sijui chakula na wakageuza kuwa SIO ELIMU BURE Bali ni ELIMU BILA MALIPO. Kufuatia hayo watoto wengi waliacha na wale wakuchunga walioenda na wale wa mtaani walirudi maana hata Mzee walimzoea Wazazi