Nyumba ni asset yakudumu vizaz navizaz kwaio ukijenga nyumba faida wataipata watoto nawajukuu sio wewSio hao tu hata wenye nyumba, unakuta kagharamikia nyumba ya milioni 40 anakuja kupangisha laki kwa mwezi. Hapo faida anakuja kuiona baadaeeeen
ndio nilichomwambia. labda uendeshe mwenyewe au la dogo mkataba wa miaka 2 inakua yake labda ndio ataheshimuInaategemeana na anyeendesha, bajaji iukiemdesha mwenyewe hela yako i arudi ndani ya miez kadhaa tu.
Huna ujualoHamna kitu hapo hii chai tu hii ni biashara kichaa
Kwa hiyo million kumi awekeze wapi kwa mfano?Chizi pekee ndio ataweka 10 ml Kwa ajili ya 20k huku Bajaj ikiwq kwenye risk
Hili sasa ndio nenoLeteni michongo sasa kwa hiyo 10m,apige mishe gani
Yanga anafungwa dhidi ya mazembe simba kushinda au kudraw kwa mkapaBora nibet kuliko kumpa mjinga mmoja million 10 atembee nayo road
Kichaa ni mtu anayejenga nyumba kwa milioni 80, na kuipangisha kwa 300,000 kwa mwezi au 10,000 kwa siku. Mwenye akili ni yule aliyenunua bajaji kwa mil, 8 na kupata 600,000 kwa mwezi au 20,000 kwa siku. Aliyejenga nyumba hela yake itarudi baada ya miaka 22 au miezi 264 na bajaji atarudisha baada ya mwaka mmoja na miezi miwili. Au jumla ya miezi 14.Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
Hii ni biashara ambayo inafanyika wewe ukiwa kwenye shughuli zako nyingine, imagine umenunua mbili that's 40,000/- per day yaani umeachana na kusumbuliwa hela za mchicha na vitunguu nyumbani hausumbuliwi whilst kila anaendelea na shughuli zake nyingine.Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
Hizo ni biashara za watu wavivu wasiotaka kuwajibika, ukiwakuta huko makazini wanavyojisifu utaskia
" Nina bajaj yangu nimempa kijana kwa week napata 140k yangu nna wasiwasi gani "
😀😀😀
na usisahau kujiuliza kazinunua kwa sh.ngapi na sevice zake jeKuna wenzako wana mpaka bajaj 20! Sasa jiulize kwa siku wanalaza shilingi ngapi!
Ukiwa na bajaji 3 utaendesha vipi Mwenyewe?."Biashara ni wewe mwenyew" mambo ya kusema wewe unakunja 4 unategemea mtu humjui hakujui et akufaidishe ww Mhh sahau, Kama unanunua bodaboda, bajaji sijui umefungua salun hakikisha unaiendesha ww mwenyew au kama ni ofisi na umeajiriwa hakikisha unatenga masaa Yako kadhaa ya kukaa kwenye ofisi Yako Kila siku bila hivo utalia Kila siku biashara mbaya...Sasa kama huyu aliyenunua Bajaj 10M eb imagine angekuwa anaendesha mwenyew mapema sana unarudisha pesa yako, faida juu na usalama wa chombo uhakika.
Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
Chukia hiyo mil 10 halafu tuleteee biashara isiyo na kichaaa ndani yake. Unaonekana kwenye biashara wewe ni mweupe kichwani mara 1000Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
Mkuu una bajaji nini mbona umemfokea sana kijanaWewe mjin**nga sana tena mpu###mbavu sana basi tuu serikali haijakuchukulia hatua.
Mkuu hawa vijana ni pasua kichwa sana yan presha muda woteSijaelewa hapo huyo madam kesi sasa anahusikaje hapo?