Mkuu hiyo Hardware imekaaje coz nataka niifanyeNi biashara ya kifala kweli, ila biashara nyingi faida yake ni ndogo pia cha msingi ni mzunguko wa fedha usiende mbali na wewe.
unaijua biashara ya hardware hii ni manyoko usipouza stock kubwa kwa mwezi mmoja tu
Bora nyumba thamani inaongezeka kadri miaka inavyosonga ila bajaji unaweza uza mia tanoSio hao tu hata wenye nyumba, unakuta kagharamikia nyumba ya milioni 40 anakuja kupangisha laki kwa mwezi. Hapo faida anakuja kuiona baadaeeeeee
Sijazungumzia Bajaj 3 mm sema nn Nunua mwanang tatu alaf ajiri wakuendeshee wakupe 20K 😂😂😂 sikulazimishi Life is a choice na pesa ni zakoUkiwa na bajaji 3 utaendesha vipi Mwenyewe?.
Kufokolewa kwako kinyeo hakuwezi kufanya Kila mtu akawa shoga hakuna tusi jipya" dunianiWe shoga kama umeumia Mimi kusema ukweli piga kimya siitaji machoko hapa unaleta hasira zako za
Uhuru wa kujiajiri ni muda, sijui ww ulikuwa unafikiria uhuru gani. Uhuru wa muda wa kufanya chochote muda wowote. Ukiwa mmliki wa bajaj kwamba ndo hutakiwi kuwa dereva? Asee we jamaa kama una mentality hii, utafeli sana kwenye business. Endelea na iyo ajira yako tu.Sasa boss unakuwaje dereva tena? Dhana ya kwamba ukijiajiri unakuwa huru, hapo inadhihirikaje?
Daaah aisee 😅Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
We jamaa hii ndo hoja yako pekee tu "biashara kichaa". Alafu umeelezea/kugusa upande mmoja tu wa mmiliki kumpa mtu aendeshe amletee hesabu ya 20k (huyu ndiye anafanya biashara kichaa), hujagusa upande wa mmiliki ambaye ataamua kuendesha/kukomaa mwenyewe (huyu hafanyi biashara kichaa kama unavyowaza wewe). Alafu usikariri mzee sio kila bajaji hesabu ni 20k, kuna bajaj za NMB hesabu ni 15k per day, na ni mkataba 2 yrs.Biashara kichaa hiyo
Ww ndio huna akili kabisa unataka afanye nini kama ww huna akili vizuri usilazimishe na wenzako wabishi kama wwYaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
Hao waliopo kwenye business wamefaulu? Mbona sasa wanalalamika kwenye uzi huu huu?Asee we jamaa kama una mentality hii, utafeli sana kwenye business. Endelea na iyo ajira yako tu.
hapo bado haijapaki sentroTupe hesabu zako basi zinazosibitisha uchizi wake??
20,000x365days= 7,300,000 hiyo ni kwa mwaka mmoja.
Acha uoga komaa hakuna hela inakuja kirahisihapo bado haijapaki sentro
Kuna dogo mmoja wa kiarabu pale mwananchi anazi kumi Sasa sijui kati yako na yeye nani mjanjaKuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
Hahahahah km biashara ingerikua ivyo kila mtu angerikua tajiri akunaga hesabu za kijinga ivyo ktk biasharaTupe hesabu zako basi zinazosibitisha uchizi wake??
20,000x365days= 7,300,000 hiyo ni kwa mwaka mmoja.
Hao waliofeli kwenye business ya bajaj walikuwa na mentality kama yako. Kwamba mimi ni boss nitafute mtu aniendeshee chombo.Hao waliopo kwenye business wamefaulu? Mbona sasa wanalalamika kwenye uzi huu huu?