Ruwamangi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 1,292
- 2,382
Mkuu hiyo Hardware imekaaje coz nataka niifanyeNi biashara ya kifala kweli, ila biashara nyingi faida yake ni ndogo pia cha msingi ni mzunguko wa fedha usiende mbali na wewe.
unaijua biashara ya hardware hii ni manyoko usipouza stock kubwa kwa mwezi mmoja tu