Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

Bora ist ufanfe uba naumngana na wewe
 
Tupe hesabu zako basi zinazosibitisha uchizi wake??
20,000x365days= 7,300,000 hiyo ni kwa mwaka mmoja.
Alaf mkataba n miaka miwili na miez kazaa anakuletea 20k hesabu ya haraka unayo faida kubwa ebu mpe elimu huyu mleta mada
 
Ni biashara ya kifala kweli, ila biashara nyingi faida yake ni ndogo pia cha msingi ni mzunguko wa fedha usiende mbali na wewe.
unaijua biashara ya hardware hii ni manyoko usipouza stock kubwa kwa mwezi mmoja tu
Sijakuelewa mkuu, unaweza fafanua kuhusu hio hardware ?
 
Jamaa inaonekana hajakua bado. Mtu mwenye ukomavu wa akili hata uandishi wake unamjua tu. Kila reply anayoandika ni kuweka vicheko tu, si umama huo.
 
Kwani utakuwa unategemea hiyo bajaji kwa kila kitu?? Hiyo biashara ni ya kuzungusha hela hata kama faida ni sio kihvyoo.
Kuna watu wanalisha familia mbili kwa bajaji mzee, nenda kitaa ujionee!
A/.
Huyu analeta hesabu za darasan ,hiyo ni biashara nzuri tena sana.

Masuala ya risk ni issue za kawaida katika kazi.

B/.
Boss wa bajaj akipewa 20,000 kwa siku kwa mwezi 600,000/=
Toa siku ambazo hakufanya kazi let say siku 4 kwa mwezi,
Bajaj yenyewe ile 100,000/= maana yake ibaki 420,000/=

Let say ibaki 400,000/= kwa mwaka

C/.
Kiuhalisia BAJAJI inaweza kaa hata miaka 10,
Mpaka Leo kuna bajaji namba A ziko barabarani.

Kwa hiyo ndani ya miaka 10 huyu mtu Atakuwa ametoa 48,000/= katika bajaji hiyo.

D/.
Note
Anaweza kujiongeza akakusanya mwaka mmoja akanunua Bajaji used ml.5
Akaifanyia service na ikawa inamuingizia hela , zikawa mbili.

Note.
Ni biashara nzuri sana usimamizi ukiwa mzuri,
Na mfanyakazi wako akawa mzuri.

Ukifanya mwenyewe ni uhakika ndan ya 4yrs ukiwa umetulia unafanikiwa.
 
Kuna faza comments za juu kule et kaleta hesabu za kuzidisha sijui 20*365
Ahahahahha kuna watu nikisema kichwani wana maji ya mchele mnakataaa 😄😄😄😄😄😄
Eti Kuna faza 😀😀
Mambo ya uchumi bwaana inabidi uwe mpole kama wahenga walivyosema mwenda pole hajikwai ,Sasa faza kachangia mashudu alafu generation Z Poor Brain anamshushua kwenye kadamnasi hii ,ni huzuni kwakweli
 
Biashara kichaa hiyo
 
Hizo ni biashara za watu wavivu wasiotaka kuwajibika, ukiwakuta huko makazini wanavyojisifu utaskia

" Nina bajaj yangu nimempa kijana kwa week napata 140k yangu nna wasiwasi gani "

😀😀😀
Hee ukija kwa waajiriwa sasa ndio mtihani sana.

Yaani ukiwasikia stori zao utawaonea wivu.....kumbe walitakiwa kuonewa huruma.
 
Jamaa inaonekana hajakua bado. Mtu mwenye ukomavu wa akili hata uandishi wake unamjua tu. Kila reply anayoandika ni kuweka vicheko tu, si umama huo.
Njaa inakusumbua hizo ni hasira tu za umasikini 🤣🤣🤣
 
Biashara kichaa hiyo
 
Sasa moderators labda mtueleweshe

Payge

Active

Sasa mbona kama.hii mada ni ya kukejeli biashara za vijana waliojiajiri na wenye kufanya hii biashara?
Mleta mada mwenyewe hakuna popote ambapo anaongea kwa hoja na lugha za mtu mwenye akili anaejitambua zaidi naona MATUSI FEDHEHA NA KEJELI, mlifanya vyema kuindoa hii mada mwanzon ila nashangaa mmeirudisha tena
Hii mada imeletwa kwa lengo la kukejeli na kudharau biashara za watu ambayo imeweza kuleta positive impact kubwa kwa vijana badala ya kukaa vijiweni na kutukana kuongea ujinga na kuvuta bangi mtu unakua bize na wateja na kujipatia rizki na kipato.

Nilitegemea kungekua na mada ambayo inafundisha labda namna bora zaid ya kufanikiwa kwenye hii biashara, ila naona ni matusi dhihaka na kejeli ,

Hii mada iondolewe au iwe locked.
 
Biashara kichaa hiyo umasikini unakusumbua na masikini hua asikilizwi unapoteza mda tu🤣🤣🤣
 
Biashara kichaa hiyo umasikini unakusumbua
MODERATORS
Sasa mbona kama.hii mada ni ya kukejeli biashara za vijana waliojiajiri na wenye kufanya hii biashara?
Mleta mada mwenyewe hakuna popote ambapo anaongea kwa hoja na lugha za mtu mwenye akili anaejitambua zaidi naona MATUSI FEDHEHA NA KEJELI, mlifanya vyema kuindoa hii mada mwanzon ila nashangaa mmeirudisha tena
Hii mada imeletwa kwa lengo la kukejeli na kudharau biashara za watu ambayo imeweza kuleta positive impact kubwa kwa vijana badala ya kukaa vijiweni na kutukana kuongea ujinga na kuvuta bangi mtu unakua bize na wateja na kujipatia rizki na kipato.

Nilitegemea kungekua na mada ambayo inafundisha labda namna bora zaid ya kufanikiwa kwenye hii biashara, ila naona ni matusi dhihaka na kejeli ,

Hii mada iondolewe au iwe locked.

Payge

Active
 
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…