Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

Zitaje mkuu hizo business
 
ili uweze kupata faida hapo ni kupiga hesabu ya miaka mitatu (3) kitu ambacho ni kigumu sana.

Watu wengi wanakuwa wametunza hela tu ambayo pia inakuwa imekutana na kushuka kwa shilingi, ila hilo hawalioni wao wanatafuta kurudisha ile milioni 10.

Anayefaidi hiyo biashara huwa ni yule anayeinunua iyo bajaji used maana inakuwa imeshashuka thamani kwa 30% ambayo ni lazima ishuke sawa na gari inavyokuwa.

Sasa huyu akiinunua mkononi atanunua labda milioni 7 ataitumia naye akiitunza atauza ama milioni 6 au 5.5 yeye inakuwa imeshuka kidogo zaidi kwake.

Sawa na gari tu ukinunua jipya ukasajili wewe wa kwanza kiuchumi hutalifaidi, kama atakayelinunua ukuwa mkononi mfano mwako baadae, maana hakutani na anguko kubwa la thamani kama wewe.

Kwakutokujua wengine wanasema gari liability kumbe ni sababu ya hilo hesabu dogo tu.

Nimeongea hadi nimetoka nje ila nikuonesha tu namna yakuzifikiria hizo hesabu
 
Ni biashara ya kifala kweli, ila biashara nyingi faida yake ni ndogo pia cha msingi ni mzunguko wa fedha usiende mbali na wewe.
unaijua biashara ya hardware hii ni manyoko usipouza stock kubwa kwa mwezi mmoja tu
Ila wanasema hardware ina faida kubwa sana
 
Kuna faza comments za juu kule et kaleta hesabu za kuzidisha sijui 20*365
Ahahahahha kuna watu nikisema kichwani wana maji ya mchele mnakataaa 😄😄😄😄😄😄
Kuna faza comments za juu kule et kaleta hesabu za kuzidisha sijui 20*365
Ahahahahha kuna watu nikisema kichwani wana maji ya mchele mnakataaa 😄😄😄😄😄😄
Hapo kakosea wapi, fafanua tafadhali
 
Wewe ukiwa na 10M utafanya biashara gani?
Asante sana kwa swali lako zuri mkuu..
Kwanza tatoa mil 5 tampa antiel dorry atafanya biashara ya cosmetic hapa mtaani kwentu..

Mil 5 inayobaki nawekeza katika biashara ya film na camera accessories an nakua natafuta vijana wa kazi wa kutumia hvo vtu na kuanza kutafuta connection za mashughuli mbali mbali
 
milioni kumi kwa sasa unafanya biashara gani sasa ? ,labda ufungue genge
milioni kumi kwa sasa unafanya biashara gani sasa ? ,labda ufungue genge
milioni kumi kwa sasa unafanya biashara gani sasa ? ,labda ufungue genge
milioni kumi kwa sasa unafanya biashara gani sasa ? ,labda ufungue genge

Mbona Bajaj zimejaa tele barabarani,au ni za majini😂

Anti Dorry akikuibia Kila siku elfu ishirini hautafilisika boss?
 
Uwekazaji unahitaji mtani mkuu,ukiogopa hayo hutafika!
 
Huu uzi umenisaidia sana ahsante kwa mtoa mada naomba mods mumsamehe mumfungulie

Hawa watu bila kuwananga hawatoi codes za biashara

Hapa tumepata shuhuda za uhakika sio uwongo wa motivation speaker
 
Mkuu tupe mrejesho hali ikoje baada ya kuingia kwenye game?
 
Mkuu hapo mkataba unakua wa muda gani?
 
Jamani wananzengo yuko sawa kwa namna fulani. Anenufaika sana na hiyo bajaji ni yule anaeendesha. Bajaji ukininunua endesha mwenyewe au mtu wako sio wa mshahara. Wengi jwenye hesabu wanapiga tu 20k x 365 wakato kuna service, kuumwa, uharibifu,fain za t
Barabarani traffic jams,mvua nyingi barabara nyingine mbovu n.k, ni biashara ila sio ki kiviile, ila bora hiyo kuliko risk ya kulima mahindi wakati hujui mvua otanyesha vip.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…