Zitaje mkuu hizo businessKwaiyo mkuu unawekeza M10 ili upate M7 kwa mwaka..hahaha....Halafu unasahau kitu..iyo M7 unayoipigia hesabu apo ki kama Bajaji itafanya kazi mwaka mzima bila ya kupumzika ata siku moja...kumbuka Kuna hesabu za service na garama zingine za uendeshaji kama Kodi za TRA,Insuarence saivi hadi zimamoto wanawataka mabajaji wawe na mitung ya kuzima moto kwa dharula..kiukweli mleta mada yuko sahihi sana..kuwekeza M10 kwa faid isiyo zid M6 kwa mwaka huo ni uvivu wa kufikilia..
Kuna biashara ambazo ukiingiza hiyo M10 kwa mwaka na ukawa unasimamia iyo biashara kikamilifu ndan ya mwaka unaweza ukatengeneza faida ata ya M15..