Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

Wanakuwa wamepiga mahesabu haya
View attachment 3173288

Kwa siku 500 wanakuwa wamerudisha hela yao. Siku 500 ni sawa na mwaka mmoja na miezi mitano hivi.

Kwa hiyo baada ya kipindi hicho kupita ndio anaanza kuhesabu faida.
Hamna kitu hapo! Mashine inakuwa imechakaa hata hela hazijarudi kwasababu kuna siku kadhaa ndani ya mwaka itakuwa down kwa changamoto ya services, jamii, askari! Hii biashara kichaa!
 
Uoga wako ndio umasikini wako, ukitupia multibet milioni 90 hii hapa unaipata ndani ya siku

1000017024.jpg
 
Yaani Kuna watu akili hawana hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mjinga mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee mtu mweusi atakua masikini milele
Hiyo pesa ukiitia ktk screpa

Hiyo pesa Tia ktk biashara ya skrepa majibu yake utapa mazuri
Yaani Kuna watu akili hawana hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mjinga mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee mtu mweusi atakua masikini milele
 
Hamna kitu hapo! Mashine inakuwa imechakaa hata hela hazijarudi kwasababu kuna siku kadhaa ndani ya mwaka itakuwa down kwa changamoto ya services, jamii, askari! Hii biashara kichaa!
Kila kitu ni utunzaji

Kama upo rough hata miezi mitatu tu inatosha kufanya chombo kiwe chakavu.

Kuna watu mtaani wanaendesha magari yenye namba B na yapo very clean.
 
Back
Top Bottom