Davidson david
JF-Expert Member
- Jul 26, 2023
- 1,029
- 1,051
Bajaj inamaokoto sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bajaji na bodaboda ni vitu viwili tofauti.Kuna jamaa yangu aliuza kiwanja kanunua bodaboda mpya mbili kazikodisha zimletee hesabu! Ndani ya miezi mitatu ziko hoi taabani kazipaki!
Sijajua kwa Bajaj ila gari MMILIKI ndo anahusika na serviceService ni juu ya dereva au mm mgeni??
Elezea vizuriNi biashara ya kifala kweli, ila biashara nyingi faida yake ni ndogo pia cha msingi ni mzunguko wa fedha usiende mbali na wewe.
unaijua biashara ya hardware hii ni manyoko usipouza stock kubwa kwa mwezi mmoja tu
Kwenye biashara watu hawasemagi ukweli wakiogopa wasichekwe!Kwani utakuwa unategemea hiyo bajaji kwa kila kitu?? Hiyo biashara ni ya kuzungusha hela hata kama faida ni sio kihvyoo.
Kuna watu wanalisha familia mbili kwa bajaji mzee, nenda kitaa ujionee!
Kaishia njiani😁Elezea vizuri
Hebu fafanua vizuri mkuu maana nafikiria sana hii biasharaNi biashara ya kifala kweli, ila biashara nyingi faida yake ni ndogo pia cha msingi ni mzunguko wa fedha usiende mbali na wewe.
unaijua biashara ya hardware hii ni manyoko usipouza stock kubwa kwa mwezi mmoja tu
🤣🤣🤣Huyu mtu,afu kapotea ghaflaKaishia njiani😁
Akili Gani hizi aisee Unauza ardhi Kwa ajili ya huo ujingaKuna jamaa yangu aliuza kiwanja kanunua bodaboda mpya mbili kazikodisha zimletee hesabu! Ndani ya miezi mitatu ziko hoi taabani kazipaki!
Hamna kitu hapo! Mashine inakuwa imechakaa hata hela hazijarudi kwasababu kuna siku kadhaa ndani ya mwaka itakuwa down kwa changamoto ya services, jamii, askari! Hii biashara kichaa!Wanakuwa wamepiga mahesabu haya
View attachment 3173288
Kwa siku 500 wanakuwa wamerudisha hela yao. Siku 500 ni sawa na mwaka mmoja na miezi mitano hivi.
Kwa hiyo baada ya kipindi hicho kupita ndio anaanza kuhesabu faida.
Hii ni sahihi kabisa👍🏽Milioni kumi ukiingiza kwenye biashara ya chuma chakavu ukataget sehemu nzuri watu wakawa wanaleta chuma vizuri kwa miezi 3 unakaribia milioni 20
Hiyo pesa ukiitia ktk screpaYaani Kuna watu akili hawana hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mjinga mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee mtu mweusi atakua masikini milele
Hiyo pesa Tia ktk biashara ya skrepa majibu yake utapa mazuriYaani Kuna watu akili hawana hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mjinga mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee mtu mweusi atakua masikini milele
Yaani Kuna watu akili hawana hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mjinga mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee mtu mweusi atakua masikini milele
Kila kitu ni utunzajiHamna kitu hapo! Mashine inakuwa imechakaa hata hela hazijarudi kwasababu kuna siku kadhaa ndani ya mwaka itakuwa down kwa changamoto ya services, jamii, askari! Hii biashara kichaa!