Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

Hiyo sio biashara ya kufanya ni chizi pekee atanunua bajaji Ili kufanya biashara
Uzi wako ungekuwa umeleta maana kama ungekuja na idea yenye mchanganuo yakinifu wapi mtu anaweza kuwekeza akiwa 10m ili aweze kupata faida zaidi ya 20k kwa siku. Ila kwa hii mipasho ulikuja nayo wewe ndio unaonekana hauna akili. Kwa mtazamo wangu ni bora kuwekeza kwenye biashara unayoifahamu vyema hata kama faida yake ni ndogo kuliko kuwekeza kwenye biashara ambayo huifahamu vizuri hata kama unasikia inalipa sana. Biashara inaendana na life style ya mtu, kuna biashara zingine zinahitaji usimamizi wa karibu sana na zingine unaweza kuzifanya bila kuwa karibu sana. Kwa usione mtu anayefanya biashara fulani hana akili kwa kuwa wewe unafanya biashara tofauti.
 
Hujitambui
 
Back
Top Bottom