Mtu aniprove wrong kwamba waislamu hawaabudu mwezi na wakristo hawaabudu msalaba

Mtu aniprove wrong kwamba waislamu hawaabudu mwezi na wakristo hawaabudu msalaba

Utofauti hapo upo kwenye hayo maneno tu, kuna kuabudu na kuheshimu.

Unachozungumzia wewe ni heshima inayoonyeshwa juu ya vitu hivyo, na siyo ibada ya sanamu.

Ukiondoa mwezi msikitini muislamu ataendelea kuswali akielekea Makka.

Ukiondoa msalaba kanisani, mkristo ataendelea kusali kwa jina la Yesu.
 
Kwa nini viwepo madhabauni
 
What do u want to prove? Mind u kuna wakristo hawana misalaba kanisani.. bado hujaweka vizuri point yako!
 
Kumekuwa na mjadala kuwa waumini wa dini zote hizo mbili wanaabudu mungu mmoja, lakini kuna namna ukitazama unaona kama ni ibada za sanam.......
Kwanza lazima ujue ibada maana yake ni nini? Na sanamu maana yake nini? Na vipi watu wanaoabudu sanamu wanafanya ibada zao?
Ukisha jua hayo ndiyo itakuwa rahisi kujua kuwa kama waislamu wanaabudia mwezi au wakristo wanaabadia msalaba.
 
Ila waislamu inabidi waachane na mwezi maana hayo makafiri yanaenda na kukojoa mwezini kadiri yanavotaka. Tena yanaukanyaga na viatu. Ule utukufu wa mwezi haupo Tena. Samahani lakini.
 
Back
Top Bottom