figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
kuna yule kibaraka muhaini anae endaga kizimbani na contena la ubwabwa, hua anakuja na novels nyiiiiingi,Nahisi watako, Kichwa, Miguu, Tumbo, macho na Midomo wao hawana..
Mtu atusaidie kumnyang'anya Nyahoza Kalamu. Msajili wa Vyama vya Siasa kajigeuza mwalimu wa kiswahili na Mahakama.
View attachment 3597800
kuna yule kibaraka muhaini anae endaga kizimbani na contena la ubwabwa, hua anakuja na novels nyiiiiingi,
hivi hua ni mwalimu wa fasihi au ni mwanainchi wa vitabu?
maana hua eti anamsomea jaji novel akiwa kizimbani ๐คฃ
Kwanza kabla ya mengine yote:Nahisi watako, Kichwa, Miguu, Tumbo, macho na Midomo wao hawana..
Mtu atusaidie kumnyang'anya Nyahoza Kalamu. Msajili wa Vyama vya Siasa kajigeuza mwalimu wa kiswahili na Mahakama.
View attachment 3597800
WaTanzania wanauliwa hovyo, Katibu Mkuu wa chama anatangaza hadharani "wauaji wamefanya kazi ya kutukuka"?Yeye anashangaa cdm kutukana wakati ccm wanatishia kukata watu vichwa wanasema kuteka hadharani na watu wanatekwa lakin yupo kimya.ccm imegeuka kuwa chama cha magaidi lakn haoni hilo
Ni ishara.Kwa sasa kila mtu mwenye mchongo wa ulaji anataka aonekane ni chawa mtiifu.
KabisaMatako yake..