Mtu auawa kijijini Kenya kwa tuhuma ya kumtaka mke wa mwingine.

Mtu auawa kijijini Kenya kwa tuhuma ya kumtaka mke wa mwingine.

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Hizi habari za siku sita zilizopita. Imetokea Mfukoni location,sub section Kinoru.
Huyu mtu Musanga amemkata shingo Bwana Muthomi kwa kuthubutu kumfuata mke wake Linat Karemi.
Amemkata shingo mpaka kichwa kikawa kinaning'inia tu.
Sasa,I don't want to discuss the adultery. I just want to discuss that manner of butchering a person.
Tunasema,"Ameuawa kikatili,ameuawa kinyama"
Actually that is the most humane way of killing a person.
Watu wa butcher wanapomuua mnyama lazima wajitahidi kupunguza mateso kwa mnyama.
Now talking about butchers sijui unesikia Ile habari iliyotokea Dar muuza butcher maarufu ameuawa na mwili wake kutupwa Bagamoyo.
Polisi wamewaambia ndugu wa marhemu kwamba hawataki ndugu wa marhemu waonger na vyombo vya habari.
Lakini hili ni jambo napinga sana kutups miili ovyo.
Kama vyombo vya Dola vimeua lazima view na body disposal facilities. Au crematorium.
Kanuni za dini zinazosema Mwislamu au Myahudi asile nyama mpaka mnyama awe amechinjwa kwa kanuni fulani, na hizo zinazoitwa kanuni actually
ni mbinu za kupunguza mateso kwa mnyama.
Kama mnyama kauawa kikatili sana,nyama yake ni haramu kuliwa.
Kwa maana hiyo basi,ina maana tunaweza kusema kama unataka kumuua mtu,kama unafikiria kwamba mtu fulani lazima auawe,basi you must kill him in the most humane way possible.
Ndio ushauri wetu kwa yule anayetaka kuua.
Kuua bila ukatili,kama ilivyoandikwa katika Msahafu anapouliwa mnyama,snapochinjwa mnyama,unamkata mshipa wa damu na mshipa wa hewa.
Sijui kama inaruhusiwa kuwashauri watu wanaotaka kuua.
Lakini wale marhemu wote walioko ahera waliouawa kikatili nadhani watakubaliana na mimi kwamba binadamu asiuawe kikatili.
Lakini kuhusu yale mauaji ya kijijini Kenya, Joseph Kabendo, kiongozi wa Nyumba Kumi pale alisema,"Kama mtu amemtafuna mke wako,we nenda tu ukalale.
Au kama vipi wewe umekasirika sana, basi nenda Polisi kashitaki,Polisi watakuja kumkamata."
Mama mwingine pale Nancy Kawera anatoa maoni yake anasema,"Polisi wachukue hatua kali kwa watu wanaofanya vitendo vya ukatili namna hii. Lakini hata bila Polisi,sisi wenyewe tulindane,tupendane,tuishi kwa upendo."
Mwingine anatoa maoni yake anasema,"Hapa kijijini nimehamia siku za karibuni. Naona vijana wengi wanavuta bangi na watu wanakunywa sana hizi pombe za kienyeji. Nashauri bar zisogezwe mbele kidogo. Zisiwe karibu na makazi ya watu."
Lakini amenifurshisha sana yule aliyesema,"Kama mtu amemtafuna mke wako,wewe nenda ukalale."
Huyu kiongozi wa Nyumba Kumi anaongea from experience.
Presumably he knows what he is talking about.
Kama alivyosema Yesu,"Msamehe adui yako na Mungu atakuita 'mtakatifu'"
 
Wewe nawe unatuchosha, familia yenu inatunzwa kwa Kodi zetu ujue.
 
Back
Top Bottom