Mtu gani maarufu amekublock?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Kwenye mitandao kuna muda tunakoseana na kufikia kupigana Block au kuwa-Ignored.

Ni mtu gani maarufu amekublock kwenye Mtandao wa kijamii, na sababu iliyopelekea akublock ni nini?

Mimi binafsi nilipigwa Block na MangeKimambi baada ya kumkosoa alipokuwa ana-publish picha za Profesa Jay akiwa ICU.

Vipi wewe, uliblockiwa na mtu gani maarufu?
 
Dah, nyuzi za siku hizi ...
 
Lemutuz (RIP) , Mange kimambi na Vannesa mdee. Vannesa sijui kwanini ameniblock maana sijawahi mfollow, alivyoolewa na Rotim nikasema niwaangalie walivyo moto nikakuta block… enhe sijui.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…