Mtu gani maarufu amekublock?

Mtu gani maarufu amekublock?

maria sarungi, ni ovyo sana yule dada, Halafu anajiona kama mtu muhimu flani hivi kwenye jamii.
 
Bavicha na machawa wengine baada ya kuwakosoa waqche ukasuku
 
Kumbe huyu Juma Lokole ana followers?

Hii kampeni ndio maana inakuwa ngumu sana.
Tena wanamfatilia sana
Ana mashabiki kwerikweri
Utakuta mtu pembeni anawakandia wale,alafu huku anamfatilia lokole 😄

Ova
 
Kwenye mitandao kuna muda tunakoseana na kufikia kupigana Block au kuwa-Ignored.

Ni mtu gani maarufu amekublock kwenye Mtandao wa kijamii, na sababu iliyopelekea akublock ni nini?

Mimi binafsi nilipigwa Block na MangeKimambi baada ya kumkosoa alipokuwa ana-publish picha za Profesa Jay akiwa ICU.

Vipi wewe, uliblockiwa na mtu gani maarufu?
Daniel kijo
Dr Chain
Dudu
Bill wa jua kali
Hemdy phd
 
Back
Top Bottom