Mtu gani maarufu hapa Tanzania unayemkubali na kwanini?

Fagason

Senior Member
Joined
Jun 14, 2013
Posts
175
Reaction score
19
Wakuu wanajamvi, naomba leo kila mmoja wetu ataje mtu mmoja anayekoga moyo wake kwa kile anachoona anakifanya kwa jamii,hususani kusaidia wasiojiweza au kusaidia elimu au kuburudisha au chochote kizuri na si vibaya ukitaja na sababu kidogo ili kuwahabarisha na wengine.......mwisho wa siku atakayetajwa zaidi kwa wema wake au kwa kuelimisha kwake kupitia chochote anachokifanya mimi kama mtoa mada nitampa zawadi na itamfikia popote alipo tanzania na zawadi ni zawadi ili kumpa chachu ya kuendelea kufanya vizuri,lugha nzuri izingatiwe!
 
nancy sumari,kwasababu yuko mstari wa mbele kuhahikisha kuwa jamii inapata kile kinachotakiwa hasa misaada kwa wakina mama wajawazto,watoto yatima nk vilevile kuwapa moyo wajasiliamal
 
Z. Kabwe, Nyarandu and wife, they seem to really care for TZ, and most of her underprivileged citizens.
 
Le Mutuz Le Baharia Ze Big Show kwa sababu ya segments zake za kuwachana mburulaz kwenye Le Mutuz Live Hard Straight Talk/ Le Mutuz Hard Live Straight Talk
 
mimi nampendekeza mh.lema wa arusha,sababu ni jasiri na mfano wa kuigwa wa vijana wapenda mabadiliko!wengi tunamjua.
 
Le Mutuz Le Baharia Ze Big Show kwa sababu ya segments zake za kuwachana mburulaz kwenye Le Mutuz Live Hard Straight Talk/ Le Mutuz Hard Live Straight Talk

Bwa' Nchuchu try to be serious of the serious matters! mention the public figures<by the way who knows the le MUTUS?Be serious!
 
John Mnyika...mtu makini,ana vision na taifa letu na anajua kutafsiri kauli zake kuwa matendo......
 
mrembo by nature umenichekesha sana eti BABA YANGU sasa basi si jina ili kama ni maarufu tumjue kuliko kuharibu kura namna iyo,rudia tena best yake na JIDE!

Hahaha wewe mimi sio best wa JIDE. We weka tu kwenye candidate baba yake mrembo by nature.....hahaha
 
JAKAYA MRISHO KIKWETE, mcheshi, nimepata degree na masters ktk utawala wake, charming, mwadilifu. He's got a beautiful daughter in amina
 
nancy sumari,kwasababu yuko mstari wa mbele kuhahikisha kuwa jamii inapata kile kinachotakiwa hasa misaada kwa wakina mama wajawazto,watoto yatima nk vilevile kuwapa moyo wajasiliamal

no ni JAKAYA KIKWETE watus choice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…