Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ASHA ROSE MIGIRO! intelligent, confident and hard working woman!
kweli dogo anaburudisha ila sasa ujumbe wake ni kulalamika tu kuhusu akina wema na mapenzi kwa ujumla ama atakuwa nasoma hapa basi aimbe hata mambo yakuelimisha vijana kuhusu madawa ya kulevya na hata ukimwi!diamond
Mbavu zangu nusura zichanike,,,,ivi kuna watu kumbe hawawezi kuwa serious na jambo lolote?sasa mtu umeambiwa mtu maarufu unaendaa kutaja wife sijui baba yangu wengine wanalazimisha wengine wawachagulie watu wanaowapenda wao,,,sasa nimewajua wanaochakachua hata kula...unayempenda wewe si lazima wengine tumpende....mi nongezea wangu mwingine mzee sabodo safi sana sijui amepona?mana alikuwa anaumwa.
Wakuu wanajamvi, naomba leo kila mmoja wetu ataje mtu mmoja anayekoga moyo wake kwa kile anachoona anakifanya kwa jamii,hususani kusaidia wasiojiweza au kusaidia elimu au kuburudisha au chochote kizuri na si vibaya ukitaja na sababu kidogo ili kuwahabarisha na wengine.......mwisho wa siku atakayetajwa zaidi kwa wema wake au kwa kuelimisha kwake kupitia chochote anachokifanya mimi kama mtoa mada nitampa zawadi na itamfikia popote alipo tanzania na zawadi ni zawadi ili kumpa chachu ya kuendelea kufanya vizuri,lugha nzuri izingatiwe!
ameingia katika historia ya kuwa waziri mkuu wa kwanza kulia hadharani!
ameingia katika historia ya kuwa waziri mkuu wa kwanza kulia hadharani!
nimecheka sana.. hamna fala mwenye akili kiduchu kama lemutuz.. ila ukimchunguza kuna kitu kimezuia akili yake isimkae sawa.. possibly inaweza kuwa wakubwa zake anaowanyenyekea...Le Mutuz Le Baharia Ze Big Show kwa sababu ya segments zake za kuwachana mburulaz kwenye Le Mutuz Live Hard Straight Talk/ Le Mutuz Hard Live Straight Talk