ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
King Majuto...
Kila mtu anafahamu kwa nini.
king majuto nooo watu wa tanga wavivu. Sema Jakaya kikwete au obama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
King Majuto...
Kila mtu anafahamu kwa nini.
mimi nampendekeza mh.lema wa arusha,sababu ni jasiri na mfano wa kuigwa wa vijana wapenda mabadiliko!wengi tunamjua.
Baba yangu
selecting ur dad z much better but remember ur dad will choose JAKAYA KIKWETE
John Mnyika...mtu makini,ana vision na taifa letu na anajua kutafsiri kauli zake kuwa matendo......
Rostam Aziz (The King Maker)
mnyika bado sana kaka. Kwanini tu usiseme jAKAYA Kikwete
slaa hapana bali ni JAKAYA MRISHO
king majuto nooo watu wa tanga wavivu. Sema Jakaya kikwete au obama
lema = siasa chafu. Mtu safi Kikwete jakaya
John Mnyika...mtu makini,ana vision na taifa letu na anajua kutafsiri kauli zake kuwa matendo......
mkuu vipi tena unanipangia wa kumtaja,,,we uyo bogus si umtaje wewe kama unamuaminia.
mkuu vipi tena unanipangia wa kumtaja,,,we uyo bogus si umtaje wewe kama unamuaminia.
Wakuu wanajamvi, naomba leo kila mmoja wetu ataje mtu mmoja anayekoga moyo wake kwa kile anachoona anakifanya kwa jamii,hususani kusaidia wasiojiweza au kusaidia elimu au kuburudisha au chochote kizuri na si vibaya ukitaja na sababu kidogo ili kuwahabarisha na wengine.......mwisho wa siku atakayetajwa zaidi kwa wema wake au kwa kuelimisha kwake kupitia chochote anachokifanya mimi kama mtoa mada nitampa zawadi na itamfikia popote alipo tanzania na zawadi ni zawadi ili kumpa chachu ya kuendelea kufanya vizuri,lugha nzuri izingatiwe!