Mtu gani maarufu hapa Tanzania unayemkubali na kwanini?

ASHA ROSE MIGIRO! intelligent, confident and hard working woman!
 
ASHA ROSE MIGIRO! intelligent, confident and hard working woman!

ok,sasa ndugu yangu una ushahidi wowote au mfano kwa jambo alilowahi kulifanya huyo mamayetu?usiangalie tu kwa kuwa alikuwa UN sema kwa hapa TZ amegusa vip maisha ya wengine!
 
kweli dogo anaburudisha ila sasa ujumbe wake ni kulalamika tu kuhusu akina wema na mapenzi kwa ujumla ama atakuwa nasoma hapa basi aimbe hata mambo yakuelimisha vijana kuhusu madawa ya kulevya na hata ukimwi!
 
Bakhresa....mchango wake katia jamii ni mkubwa sana...aliona kuwapa vijana pesa haitawasaidia na siku mbili watalia njaa tena...akaamua awape baiskeli wauze ice cream ambayo ni ajira nzuri....
 
maxence melo
coz kawez kuanzisha forum yenye kuelimisha,kueleza maoni ako free pia ku2ondolea stress big up brother!
 
MAXENCE MELO
coz kawez kuanzisha forum yenye kuelimisha,kueleza maoni ako free pia ku2ondolea stress big up brother!
 
mrembo by nature baba ako ni nani na ana umaarufu gan
 

kutokuelewa maswali sawa sawa kumechangia sana kwa wadogo zetu kufeli mitihani yao ktk level mbali mbali za kielimu.
 
Prof Issa Gulamhussen Shivji...ndio mtu ambae mimi natamani usiku na mchana kuwa kama yeye,bongo hakuna mwingine anaenivutia kama huyu msomi.
 
Lowasaa anasidia sana kujengashle na makanisa...big up!
 
Bishop kakobe mtumishi wa mungu wa kweli asiyepindisha maandiko ili asifiwe na mtu.
 

binafs navutiwa na Al-haji Kova,muislam mwenzangu anayetumia ofisi yake kuwatwanga waislam wenzie kwa sifa na mwishowe ofisi yake imeishia kukaguliwa na mbwa na akakaa kimya kutetea MBUMBUA
 
ameingia katika historia ya kuwa waziri mkuu wa kwanza kulia hadharani!

na waziri mkuu wa kwanza kuhamasisha vurugu,waziri mkuu wa kwanza kuambiwa m.p.u.m.b.a.v.u na mbunge kupitia media,waziri mkuu wa kwanza kukiri ufisad utatikisa nchi,waziri mkuu wa kwanza kusema tumechoka,waziri mkuu wa kwanza kujiita mtoto wa mkulima,ilhali hawatetei wakulima,waziri mkuu wa kwanza ambaye hata maelekezo yake hayafanyiwi kazi(wizi halmashauri),waziri mkuu wa kwanza aliyeikana kauli yake ya mambo ya sherehe kwenye wizara,waziri mkuu wa kwanza aloshindwa kutatua migogoro kwa umakini,
 
Le Mutuz Le Baharia Ze Big Show kwa sababu ya segments zake za kuwachana mburulaz kwenye Le Mutuz Live Hard Straight Talk/ Le Mutuz Hard Live Straight Talk
nimecheka sana.. hamna fala mwenye akili kiduchu kama lemutuz.. ila ukimchunguza kuna kitu kimezuia akili yake isimkae sawa.. possibly inaweza kuwa wakubwa zake anaowanyenyekea...

.
.
unamaanisha nini unaposema upo five star hotel.. na unapenda kwenda huko kunywa uji wa pilipili kisa tuu hamna kelele za majamaa wanaouza mapanga na dawa za mende na kunguni..
.
.
kitabu chake nimekisoma yupo vizuri.. ila sasa dah! labda nikutane nae live nimuulize (tumaswali tudogo tudogo twa kumpima) nitaamini!

otherwise lemutuz ni kituko cha sayari nyingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…