Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #21
Uteuzi wa hovyo kabisa huo!Mama Samia, hebu tengua uteuzi huu wa aibu wa muhuni Msando haraka kutunza heshima yako, heshima ya Watanzania, na heshima ya wanaMorogoro.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uteuzi wa hovyo kabisa huo!Mama Samia, hebu tengua uteuzi huu wa aibu wa muhuni Msando haraka kutunza heshima yako, heshima ya Watanzania, na heshima ya wanaMorogoro.
The trick is simple,hutaki ale raha na totoz? acheni uchawi.
Sioni Kama ana tatizo ukimlinganisha na Sabaya, Magufuli alikuwa anateua wapuuzi wengi kwenye utawala wake, na hamkuwa mnapiga kelele.Hata background checks hawafanyi?
Mtu kama Msando anapasije background check huyu?
Kwaiyo angeteuliwa shangazi yako, maana hakuna mkamilifu chini ya jua, Bora ya uyo Msando, kuliko jambazi na muuaji Kama Sabaya,Naunga mkono hoja. I was also very much surprised and shocked. It is really disgusting, undeserved, and shameful appointment.
Msando hafai!Kwa uelewa wangu ni kwasababu tu hiyo clip imetoka hadharani na tumeiona (labda hii iwe ndiyo kasoro kubwa) ila kuna watu ni viongozi wa kuheshimika hufanya makubwa ya kustaajabisha zaidi ya hilo la Msando. I'm not trying to defend him though.
Uingereza kulikuwa na waziri alishikwa mtaani akifanya uhuni kama wa Msando. Waziri Mkuu alimfuta kazi na kuteua mwingine kwenye nafasi hiyo bila hata kusubiri utetezi wa muhuni huyo au kusoma barua yake. Albert Msando must go. Kuna waTz milioni 60 hivi, who is this Msando amongst Tanzanians ?! Tuongozwe na muhuni wa hadharani? Hicho kiapo cha maadili atakiapaje wakati wa kuapishwa?!. Mama Samia, tafadhali, futa takataka hii.Sidhani kama huwa kuna background check kwa hawa wakuu wa kamati za ulinzi na usalama wa wilaya zetu, kama tulikuwa na jambazi sugu(Sabaya) akiwa mkuu wa wilaya ujue yoyote anaweza kuwa.
Ngoja naye huyu tuje kumuhukumu kwenye utendaji wake, private life yake inaweza isiathiri utendaji wake na kama ana jinai yoyote apelekwe mbele ya pilato.
CCM kumeoza zaidiNi Albert Msando.
Look at him. Wamekosekana kabisa watu wenye maadili na wanaojiheshimu mpaka kupelekea huyu ateuliwe?
What was he doing there? Fingering her?
What the hell is wrong with you Samia?
Do you just flip a coin when picking these people? Do you conduct any background checks on your appointees? Is there any moral clause in the job description for the positions that you nominate these people for? Any code of ethics to be followed?
Shameful! Repulsive! Disgusting!
And shame on you Samia! Are you proud of appointees like this?
Are you that morally bankrupt? You don’t care? Don’t give a damn?
=====
Hakuna watu wanaomsaidia Rais @SuluhuSamia kufanya vetting ya ma DC kabla ya kuingizwa kwenye PDF? Kama watu dizaini ya Msando anaingizwa kwenye PDF ya Ikulu bila ya kufanyiwa vetting hii ni hatari zaidi ipo siku tutakuja kupata watu wa hovyo zaidi kwenye nafasi hizi za uteuzi.
Soma Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil
View attachment 1827155
Bora ya Msando kule ndani kumeoza kabisaUingereza kulikuwa na waziri alishikwa mtaani akifanya uhuni kama wa Msando. Waziri Mkuu alimfuta kazi na kuteua mwingine kwenye nafasi hiyo bila hata kusubiri utetezi wa muhuni huyo au kusoma barua yake. Albert Msando must go. Kuna waTz milioni 60 hivi, who is this Msando amongst Tanzanians ?! Tuongozwe na muhuni wa hadharani? Hicho kiapo cha maadili atakiapaje wakati wa kuapishwa?!. Mama Samia, tafadhali, futa takataka hii.
Kwaiyo upewe wewe iyo nafasi !!Msando hafai!
Who cares?Who knows?
Ni ngumu sana kuwatofautisha CCM mna haya mauchafu...kutoka juu hadi chini wote wanafana, so relax!Ni Albert Msando.
Look at him. Wamekosekana kabisa watu wenye maadili na wanaojiheshimu mpaka kupelekea huyu ateuliwe?
What was he doing there? Fingering her?
What the hell is wrong with you Samia?
Do you just flip a coin when picking these people? Do you conduct any background checks on your appointees? Is there any moral clause in the job description for the positions that you nominate these people for? Any code of ethics to be followed?
Shameful! Repulsive! Disgusting!
And shame on you Samia! Are you proud of appointees like this?
Are you that morally bankrupt? You don’t care? Don’t give a damn?
=====
Hakuna watu wanaomsaidia Rais @SuluhuSamia kufanya vetting ya ma DC kabla ya kuingizwa kwenye PDF? Kama watu dizaini ya Msando anaingizwa kwenye PDF ya Ikulu bila ya kufanyiwa vetting hii ni hatari zaidi ipo siku tutakuja kupata watu wa hovyo zaidi kwenye nafasi hizi za uteuzi.
Soma Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil
View attachment 1827155
Wewe ni kamanda wa CHADEMA?Ni ngumu sana kuwatofautisha CCM mna haya mauchafu...kutoka juu hadi chini wote wanafana, so relax!